LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,925
Yaani uongozi wa bunge ume kuwa leve lege hadi wasanii wana liona bunge kama jumba la sanaa..View attachment 3388721
Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030
Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.
#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA