GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani kuna uchaguzi mpaka useme watashinda?
 
Uzuri ni kuwa unajitambua
Yaah kuna mda tusiongee kufurahisha wengine..
Tusiongee ili uonekane upo awareness

Vaa uhalisia alafu jiulize kinachofanya useme hao hawafai ni nini na wewe una nini...?
 
Samahani ulivyo sema miamba unamaanisha nini?
Mimi hao sijawahi hata kuwasikia
 
Vigezo vya hovyo sanaaa ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu
 
Tunaenda kuwa na bunge la kipumbavuuuu! Wanajilinganisha na akina Sugu, Haule na MwanaFA? Wenzao walikuwa na akili!
 
Mimi nalia na JWTZ wanetususa hata kama wanaona uozo uliopo nchi wao wako kimya tu! Kwa nini wasichukue nchi ili waweke mifumo inayoeleweka? Ondoa vigezo vyote vya kipumbavu katika ubunge! Eti mradi Takataka inajua kubwabwaja nayo inapata ubunge!
 
Lolote laweza tokea...
 
Mkuu muda wa kuchambua siasa unaupata wapi wakati UE inakusubiri.
 
Kwa kweli bunge letu kwa sasa limekuwani la kishenzi tu, hivi watu kama hawa kweli ndiyo wanakuwa watunga sheria wetu?
 
Dah!...
 
Sa maanake nini midume mizima kugusanisha vitovu namna hii?!
Astaghafillulah..!!!
Hawa inawezekana mmoja wapo anampumulia mwenzie kisogonišŸ˜‚
#No reforms no Election!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…