GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna kitu hapo
 
To make something special, you just have to believe it's special.” - Mr. Ping (Kung Fu Panda).

Vyama vya siasa Tanzania vimeondoa hadhi ya nafasi ya mmbunge.

Ukiwasikiliza wabunge wengi wanavyojenga hoja, kama ndio vile. Basi kila mmoja wetu anaweza.
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…