GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yaani uongozi wa bunge ume kuwa leve lege hadi wasanii wana liona bunge kama jumba la sanaa..
 
Hao jamaa wameshajua namna ya kucheza na media ili kuingiza pesa. Wanatafuta teuzi na matangazo wapige pesa hapo
 
Hatimaye na Dotto magari kaongezeka kwenye list....kazi ipo mwaka huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…