Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwahio Baraz la mawaziri lina mwaziri feki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Spika Tulia Ackson ni Mwanasheria lkn covid 19 bado wako bungeni.Ilikuwaje wakati mwenyekiti wa nec ni jaji? Au yeye ni tofauti na majaji wa mahakama kuu waliotoa hukumu hiyo?!
Wabunge haramuWabunge waliopita bila kupingwa (2020) na majimbo yao kwenye mabano.
1. Hamis Kigwangalla (Nzega Vijijini)
2. Kassim Majaliwa (Ruangwa)
3. Nape Nnauye (Mtama)
4. Vita Kawawa (Namtumbo)
5. Sagini Abdallah (Butiama)
6. Alexander Mnyeti (Misungwi)
7. January Makamba (Bumbuli)
8. Elias Kwandikwa (Ushetu)
9. Job Ndugai (Kongwa)
10. Ahmed Shabiby (Gairo)
11. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
12. Jonas Van Zeeland (Mvomero)
13. Kalogereris Innocent (Morogoro Kusini)
14. Taletale Hamis Shabani (Morogoro Mashariki)
15. Eng. Isaack Kamwelwe (Mlele)
16. Geofrey Pinda (Kavuu)
17. Philipo Mulugo (Songwe)
18. Zedi Jumanne (Bukene).
Wataalamu wa sheria wanasema the law is not retrospective sijui hapa itakuwaje, ngoja waje. Pascal Mayalla
Nijuavyo hayo ni nakosa, kwa nini wasingepigiwa kura ya NDIYO au HAPANA kama enzi za JK Nyerere? Yaani hujapingwa kabisaaa anapendwa sana kuliko.Kupita bila kupingwa si kwamba vyama vingine hawakuweka wagombea au.? Kama ni hvy kosa liko wapi.?
Mzee wa makafaraKigwangalla mzee wa Tukutuku
Kama sio halali itakuwaje, kumbuka Waziri mkuu lazima awe mbunge tena wa kuchaguliwa.Mbele ya Mungu na Mbele ya Katiba ya JMT 1977 hao siyo halali
Walipita mlango wa kati.Covid 19 walipitaje hapo Chadema?
Aiseeh 🤣🤣🤣🤔🏃🏃mambo ka'baby
Ndiyo maana Serikali inayumba sanaKwahio Baraz la mawaziri lina mwaziri feki?
TanzaniaWabunge waliopita bila kupingwa (2020) na majimbo yao kwenye mabano.
1. Hamis Kigwangalla (Nzega Vijijini)
2. Kassim Majaliwa (Ruangwa)
3. Nape Nnauye (Mtama)
4. Vita Kawawa (Namtumbo)
5. Sagini Abdallah (Butiama)
6. Alexander Mnyeti (Misungwi)
7. January Makamba (Bumbuli)
8. Elias Kwandikwa (Ushetu)
9. Job Ndugai (Kongwa)
10. Ahmed Shabiby (Gairo)
11. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
12. Jonas Van Zeeland (Mvomero)
13. Kalogereris Innocent (Morogoro Kusini)
14. Taletale Hamis Shabani (Morogoro Mashariki)
15. Eng. Isaack Kamwelwe (Mlele)
16. Geofrey Pinda (Kavuu)
17. Philipo Mulugo (Songwe)
18. Zedi Jumanne (Bukene).
Wataalamu wa sheria wanasema the law is not retrospective sijui hapa itakuwaje, ngoja waje. Pascal Mayalla
Nani alimchagua majaliwa?mzee wa piko 🤣🤣Kama sio halali itakuwaje, kumbuka Waziri mkuu lazima awe mbunge tena wa kuchaguliwa.
Kwa mbunge ambaye siyo muoga unajiuzulu halafu unagombea tenaKama sio halali itakuwaje, kumbuka Waziri mkuu lazima awe mbunge tena wa kuchaguliwa.
Hata kama yuko peke yake lazima apigiwe kura.Kupita bila kupingwa si kwamba vyama vingine hawakuweka wagombea au.? Kama ni hvy kosa liko wapi.?
Dah il alawama zote kwa JohnNdiyo maana Serikali inayumba sana
Walikuwa wengi sn, Babati mjini na wilaya n.kWabunge waliopita bila kupingwa (2020) na majimbo yao kwenye mabano.
1. Hamis Kigwangalla (Nzega Vijijini)
2. Kassim Majaliwa (Ruangwa)
3. Nape Nnauye (Mtama)
4. Vita Kawawa (Namtumbo)
5. Sagini Abdallah (Butiama)
6. Alexander Mnyeti (Misungwi)
7. January Makamba (Bumbuli)
8. Elias Kwandikwa (Ushetu)
9. Job Ndugai (Kongwa)
10. Ahmed Shabiby (Gairo)
11. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
12. Jonas Van Zeeland (Mvomero)
13. Kalogereris Innocent (Morogoro Kusini)
14. Taletale Hamis Shabani (Morogoro Mashariki)
15. Eng. Isaack Kamwelwe (Mlele)
16. Geofrey Pinda (Kavuu)
17. Philipo Mulugo (Songwe)
18. Zedi Jumanne (Bukene).
Wataalamu wa sheria wanasema the law is not retrospective sijui hapa itakuwaje, ngoja waje. Pascal Mayalla
Kweli mkuu walikuwa 28.Walikuwa wengi sn, Babati mjini na wilaya n.k
Wagongombea wa vyama vingine walitekwa na polisi wakati wanarudiaha form zao mfano Rungwa na MtamaKupita bila kupingwa si kwamba vyama vingine hawakuweka wagombea au.? Kama ni hvy kosa liko wapi.?