Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hata kama mgombea ni mmoja, ni lazima wananchi wapige kura. Na kura itakuwa ya NDIYO au HAPANA. Hapana zikizidi, ameanguka, anatafutwa mwingine.Kupita bila kupingwa si kwamba vyama vingine hawakuweka wagombea au.? Kama ni hvy kosa liko wapi.?
Na hiyo iliwekwa wazi ili kuondoa ule upumbavu wa 2020 uliofanywa na mahela, ya kuwafuta wagombea wengine kwa sababu za kijinga kabisa ili akina Majaliwa wapite bila kupingwa na bila ya kupigiwa kura na mtu yeyote.