Hata kama mgombea ni mmoja, ni lazima wananchi wapige kura. Na kura itakuwa ya NDIYO au HAPANA. Hapana zikizidi, ameanguka, anatafutwa mwingine.Kupita bila kupingwa si kwamba vyama vingine hawakuweka wagombea au.? Kama ni hvy kosa liko wapi.?
Huyo jaji inabidi tume ya majaji imfute. Kama bado ana nguvu aende akawe mjumbe wa baraza la ardhi la kata.Hivi hakuna namna ya yeye kuulizwa, kama na yeye ni Jaji, je hili la ubatili alikuwa analifahamu kwa kiasi gani, na alilishughulikia vipi, katika nafasi yake kama Jaji, yaani mlinzi wa sheria za nchi. Anyway Yaache take hivyo hivyo tusije mwaga jozi hadharani Kam yule Muraaaa majuzi tuu.
Tena hata Waziri Mkuu ni fake. Majaliwa hana kura hata moja ya mwananchi yeyote.Kwahio Baraz la mawaziri lina mwaziri feki?
Halafu umkute sasa Nape anavyojitapa sasa, utadhani mbunge halali kumbe feki tu.Tena hata Waziri Mkuu ni fake. Majaliwa hana kura hata moja ya mwananchi yeyote.
Hawa walipita kwa hongo. Waluwahonga wasimamizi wa uchaguzi waondoe majina ya wapinzani wao ili wao watangazwe wamepita bila kupingwa.
Hawa wote wanatakiwa kufukuzwa na kuzuiwa kugombea nafasi yoyote mpaka baada ya miaka 10.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataalamu wa sheria wanasema the law is not retrospective sijui hapa itakuwaje, ngoja waje. Pascal Mayalla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kufanyajeeee??Nije pm ka`baby?