Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao

Walalahoi kama sie tu hapa.
Sema kuna watu wanapesa hapa ndani brother Bujibuji na kuwakuta majukwaani ni mara chache sana.
Ningewatag wawil sema naogopa bila ruhusa zao nisije haribu urafiki.
 
Bora umempa ukweli
 
Mimi hapa ni mlinzi wa mwana jf mmojawapo hata simu hii nayotumia nimepewa.
Hongera sana wana jf wote wameyapatia maisha isipokuwa sisi wachache tu tulioajirwa kama walinzi na watunza bustani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…