Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Picha zileSaa ngapi hiyo
Nashangaa kamuacha wakati anauzi una maelefu ya CommentsDaa,kijana wa kula nyapu kimasihara
Pole aiseeπ Cha mbavu heavy
Nilifanya suprise yeye akaona nimemdharau, hela ndio kitu sina na ntazisaka daima. Najikuna napofikia
sifa kuniweka msambweni kwakoSifa ya Kukuweka.
PumbavuSifa ya Kukuweka.
Naomba uniunganishe na hao warembo wenzako wa Yanga, na wewe mwenyewe ukiwepo; ili baadaye tukateteme wote pale kwa Mkapa.Kapeace mrembo mwenye madini ya maneno ya busara... πππ
Hannah karembo kapenda umbea na watu wagombane πππππ
Antonnia mrembo mpole, mpenda simulizi. Mkali wa kutag πππ
Kalpana Shunie Makiwendo warembo wa Simba πππ
Shadeeya Numbisa Dream Queen warembo wangu wa Yanga ππ
HAPPY WOMEN'S DAY πππ
ππ ni muda hata pole siistahiliPole aisee
Temana nae huyo, utapata mwingine mzuri na mwenye chura kumshinda yeye
Yeah, kwani wewe hutaki chura?ππ ni muda hata pole siistahili
Kwahiyo chura ndio umeona ndio kitu nafaa nipate zaidi π
Swali gani hili limekaa kimtego sana naona unataka unigombanishe na flat tvYeah, kwani wewe hutaki chura?
Proving wrong? Sifanyagi hayo maduduTuoneshe bila kiatu
chukua time fala we,mbona hujajitaja kama unachukia wanawake..........................πππ
Hao wote wajingawajinga.
Huyo culture me, Demi, Rebecca, Dr. Mariposa, Anna makirita, na kuna mmoja hivi amenitoka ni genge ambalo ukiwasema Wanawake lazima mmoja wao Atie timu.
Nikiandikaga mada yoyote huwaga najua member gani watakaokuja hapa kujibu mashambulizi ππ
Ingawaje siwachukii
Aiii unajikuta staaProving wrong? Sifanyagi hayo madudu
Jana nimetoka bila bila π πLigi ya jf usiku wa Manane/team
Big boss Bantu Lady, albino Half american , mcharuko Dahan
Boss miyeyusho Mwachiluwi,
Mwizi ana yechipukia National Anthem,
Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, big bro Analyse, dishi lenye kutu Poor Brain, na mwizi wa kimataifa Intelligent businessman
ππππchukua time fala we,mbona hujajitaja kama unachukia wanawake..........................
πAiii unajikuta staa
π dhambi hiyoProving wrong? Sifanyagi hayo madudu