Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Dyadya uko na mguu soft, unapakaga nini?Famasiala nn na mochimo ogView attachment 2541317
Mossimo imekaa mahala pake😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dyadya uko na mguu soft, unapakaga nini?Famasiala nn na mochimo ogView attachment 2541317
Atajua mwenyewe.Pole sana 🤣🤣🤣
Mwenzako alitaka aiestii we ukapeleka mossimo, hata ningekua mimi ningekufurumusha aah
Ndio maana ukapigwa kibuti, kwa huo ujeuri wako 🤣🤣Atajua mwenyewe.
Level zangu ni hizo mossimo, ist mi sio toyota
Sio kwel mkuu,unaweza ukaniona lakin unakuta nakemea,maana mtaro hauna maajabu yoyote kwanza hauna utelezi
😍 huo mguu mzuri wakwako?Famasiala nn na mochimo ogView attachment 2541317
Lakin nao pia ni watu 😂Dah…kwisha habari yangu mimi
Famchezo nini😍 huo mguu mzuri wakwako?
Gaga si umelifichamo 🙄Famchezo nini
Ulidhani hatusugui gaga
Umetuwakilisha vema sanaFamchezo nini
Ulidhani hatusugui gaga
Si kamguu kangekuwa kamekomaaGaga si umelifichamo 🙄
😂 nani jeuriNdio maana ukapigwa kibuti, kwa huo ujeuri wako 🤣🤣
Wewe apo😂 nani jeuri
Tuoneshe bila kiatuSi kamguu kangekuwa kamekomaa
Hamna alitaka tu kuuvunja moyo wanguWewe apo
Nawewe jana ukapotea
Kwahyo ukapigwa cha mbavu best? Au ulikua hauna hela 🤣Hamna alitaka tu kuuvunja moyo wangu
Saa ngapi hiyoNawewe jana ukapotea
Tulia we bibiNimekusoma, mimi ni Muislam na naupenda sana Uislam. Ni dini pekee ambayo inamuacha binadam huru kumuabudu Muumba peke yake bila kushirikisha.
Falsafa yangu ni kutowa elimu bila hiyana. Baadhi ya mada zangu👇🏾
..Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
General Knowledge. Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu. Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo...www.jamiiforums.com
Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo
Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...www.jamiiforums.com
Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu
Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu. 1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam anaposali, akinyanyuka kwenye rukuu husema "Samia Llahu liman Hamida". maana yake, Ni "Allah humsikia mwenye...www.jamiiforums.com
Tafakuri ya Faizafoxy 5: Mtego wa panya, Rushwa, Ufisadi, Siasa, Uchumi, vimenasa vyote?
Kwetu Mkuranga, kuna mitego ya panya maarufu sana. Hutengenezwa kama dema la samaki na wengine hadi leo hii huiita "dema la panya". Mitego hii ni mizuri sana lakini kila kizuri huwa na changamoto zake. Mtego huo ukitegwa hunasa panya na vinginevyo. Tanzania kabla ya hapo, Tanganyika...www.jamiiforums.com
😂 Cha mbavu heavyKwahyo ukapigwa cha mbavu best? Au ulikua hauna hela 🤣