CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Happy women's day [emoji1666]Ndo tupo na tutaendelea kuwepo,
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy women's day [emoji1666]Ndo tupo na tutaendelea kuwepo,
Asante sana
Umemsahau sinza pazuri chawa wa WCB anatumia nguvu kubwa sana kwenye uchawa wake,hata kwenye rangi nyeusi atafosi alazimishe watu waone ni rangi nyeupe.
Yupo na Slowly😄😄😄
Hilo genge yupo Sinza pazuri, Hance mtanashati na wanazuoni wengine
Hahahahaha ikawaje sasa alikwambia yeye ni dume au ilikuaje kuaje, [emoji1783]
Nasubiri GENTAMYCINE aje atoe waraka wa mitusi hapahapa muda si mrefu. Huitwa pia MINOCYCLINE.
Lakini Dream Queen kiboko yako anakutoa jasho,
Hebu nimuite nijionee
Dream Queen njoooo Robert anakuita [emoji2296]
Ahsante Kwa taarifa na inapendeza sana...
AH... Amekupa za uso au? Maana ana style yake..Ameshapita zamani Sana
Huu uzi haujakamilika, mbona haujamtaja Robert Heriel na The unpaid Seller
AH... Amekupa za uso au? Maana ana style yake..
Nimetoka jela wakuu😄
hahaha.😂😂
Hajanikopesha, nimemuambia yeye ni Fidel Marshall wa mapopoma hivyo siwezi Ligi yake
Ulifanyaje?.mbona huwa hauna matusi?.au uliandika matusi ku refer michepuko?? 😄 😄 😄Nimetoka jela wakuu😄
hata genta?huo ni mtazamo wako na sio mtazamo wa kila member juu hao watu