Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Kapeace mrembo mwenye madini ya maneno ya busara... 😘😘😘
Hannah karembo kapenda umbea na watu wagombane 😂😂😂😂😂
Antonnia mrembo mpole, mpenda simulizi. Mkali wa kutag 😘😘😘
Kalpana Shunie Makiwendo warembo wa Simba 😘😘😘
Shadeeya Numbisa Dream Queen warembo wangu wa Yanga 💛💚
HAPPY WOMEN'S DAY 😍😍😍
💖💖💖Thanks, heri ya siku ya wanawake na kwako pia na kwa wanawake wote waliomo humu,

Sifa pekee ya wwnawake wa humu ni kujiamini pamoja na mashambulizi mengi ya mada hasi juu ya wanawake lakini tumekuwepo pasipo kutishika, jf ni mtandao unaoongoza kwa wanaume kukandia, kutweza na kudhalilisha wanawake, kama ingekuwa uoga nadhani kusingekuwemo ke yeyote ni dhahiri, sisi ndo tunaiendesha dunia kwa sasa
 
Utaona moto wake...joke 😄 😄 😄
Ila mm sipendi tuu mtu anitukane bila kosa au kuutweza utu wangu...

😂😂😂
Kalpaaa!
Usichokipenda Sisi ndio tunakipenda
Muhimu ujifunze kupuuzia na kudharau ndio utadili vizuri na watu wenye matusi na wanaotweza utu wako.
Ukiwamaindi wao ndio furaha Yao😃
 
💖💖💖Thanks, heri ya siku ya wanawake na kwako pia na kwa wanawake wote waliomo humu,

Sifa pekee ya wwnawake wa humu ni kujiamini pamoja na mashambulizi mengi ya mada hasi juu ya wanawake lakini tumekuwepo pasipo kutishika, jf ni mtandao unaoongoza kwa wanaume kukandia, kutweza na kudhalilisha wanawake, kama ingekuwa uoga nadhani kusingekuwemo ke yeyote ni dhahiri, sisi ndo tunaiendesha dunia kwa sasa

Kundiwa ni muhimu kama kuna vijitabia vya hovyo mtavionyesha.

Hata hivyo hongereni ambao mnaendelea kulinda heshima ya Mwanamke. Jitahidi I kuwakanya Wanawake WENZENU wanaoifanya vitu vya hovyo.
Japo najua Wanawake Hawana uwezo wa kukanyana Kwa sababu hawaheshimiani, wengi mnadharauliana.

Sasa Sisi tukiwakanya mnasema tunawakandia.

Ingia mtandaoni Huko uone Wanawake wachache waliojifanya wanawaonya Wanawake wenzao uone walichoambulia.

Tatizo kubwa la Wanawake ni kupenda kusifiwa muda wote, na ukitaka ugombane na Wanawake wengi basi wakanye au waonye onye uone Moto.

Kheri ya siku ya Wanawake Duniani, Maua na mapambo yetu
 
[emoji178][emoji178][emoji178]Thanks, heri ya siku ya wanawake na kwako pia na kwa wanawake wote waliomo humu,

Sifa pekee ya wwnawake wa humu ni kujiamini pamoja na mashambulizi mengi ya mada hasi juu ya wanawake lakini tumekuwepo pasipo kutishika, jf ni mtandao unaoongoza kwa wanaume kukandia, kutweza na kudhalilisha wanawake, kama ingekuwa uoga nadhani kusingekuwemo ke yeyote ni dhahiri, sisi ndo tunaiendesha dunia kwa sasa
Ni wakorofi tu,, [emoji2089][emoji2089]rusha pillow akurushie pig iron ufe

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kundiwa ni muhimu kama kuna vijitabia vya hovyo mtavionyesha.

Hata hivyo hongereni ambao mnaendelea kulinda heshima ya Mwanamke. Jitahidi I kuwakanya Wanawake WENZENU wanaoifanya vitu vya hovyo.
Japo najua Wanawake Hawana uwezo wa kukanyana Kwa sababu hawaheshimiani, wengi mnadharauliana.

Sasa Sisi tukiwakanya mnasema tunawakandia.

Ingia mtandaoni Huko uone Wanawake wachache waliojifanya wanawaonya Wanawake wenzao uone walichoambulia.

Tatizo kubwa la Wanawake ni kupenda kusifiwa muda wote, na ukitaka ugombane na Wanawake wengi basi wakanye au waonye onye uone Moto.

Kheri ya siku ya Wanawake Duniani, Maua na mapambo yetu
Tena wewe ndo mwenyekiti, mnaletaga unyumbani kwenu hadi humu hamtaki kukosolewa wala kujibiwa mbovu mnataka kutufanya km wote mmetuoa humu, 😂, hamna kazi za kufanya mpaka muwe mnatukandia siku saba za wiki?

Nimezungumzia jf ya huko kwingine tuyaache
 
Back
Top Bottom