Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

18. Culture Me
Mtetezi wa Haki za Binaadam, anatetea binaadam wote waishi sehemu salama bila kujali gender wala sexuality yao,

19. cocastic
Anatetea Wapenzi wa Jinsia moja, ana kifua cha kuvumilia mengi matusi, kejeli yeye hajali wala nini kikubwa msimamo wake kaushikilia, anachukiwa na wale cyber bullied sababu hajui kukasirika muda wote ni kicheko tu.

20. Dream Queen
Huyu wewe mwenyewe unamjua unaweza ukamuelezea anavyokubanaga ukikatiza angels zake za kusema Wanawake au wale wasema Watoto, hapendi kabisa kuona Watoto wanaonewa na ana pumzi za kuweka ligi hachoki hata iwe wiki nzima za mabishano, kuna watu wanamtambua kama rude member wa JF.

Huyo Cocastic nilijuaga NI demu, niliwahi mfuata PM,😂😂
Kumbe ni dume
 
Lovelovie sophy27 Kapeace Kalpana hongera Kwa kujaaliwa kamoyo Ka upendo

Hao hawapendagi Fujo,.
Ni ngumu kuingia kwenye ringi, Ligi na hao members.
Hao hawakai Meza moja na watu wakorofi au wabishi na watata kama kina Sisi, au Popoma.
Ila sometimes wanakuwaga na kauchochchezi na kaumbea Ka hapa na pale
 
Back
Top Bottom