Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Kabisaa hatupo hapa kubembelezana ww toa yako ya moyoni kama unavyofanya..sema watu wanapenda kufake kufake maisha..

Ni kweli Watu wengi wanapenda ku-fake ili wapendwe na watu wengi hata kama wao hawapo hivyo.
Sisi wengine muda wa ku-fake hatuna.
Watakotupenda watatupenda vivihivi.
Hatufanyi kitu ili tupendwe,

Kupishana mitazamo au utofauti ndio Maisha yenyewe.
Ni Bora nipendwe na watu Wawili wanaonipenda kweli, kuliko kupendwa na watu elfu waliowanafiki.
Ambao wanataka tuu niwapambe pambe, niwabembeleze bembeleze.
 
Kabisaaaa kabisaaa...umemaliza
 
Nimekusoma, mimi ni Muislam na naupenda sana Uislam. Ni dini pekee ambayo inamuacha binadam huru kumuabudu Muumba peke yake bila kushirikisha.

Falsafa yangu ni kutowa elimu bila hiyana. Baadhi ya mada zangu👇🏾

..

Mama wa kuwalingania. Ila Kwa hicho kizazi usithubutu labda uwe na bima
 
Ñipo mkuu,sema katikati hapa ka ubize kidogo,instanbul akapata ahueni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ngoja niongeze List,
Maana kombe unajua kulipambania,😂😂😂
Umemuacha Mzee mwenzako mkiwa Instanbul.
Akija humu Hana WA kujibishana naye😀😀
Unajua Watu wabishi wakikosa wakubishana nao wanakuwa wanyonge na wengine hupata mpaka maradhi na Kufa kabisa
 
Ngoja niongeze List,
Maana kombe unajua kulipambania,[emoji23][emoji23][emoji23]
Umemuacha Mzee mwenzako mkiwa Instanbul.
Akija humu Hana WA kujibishana naye[emoji3][emoji3]
Unajua Watu wabishi wakikosa wakubishana nao wanakuwa wanyonge na wengine hupata mpaka maradhi na Kufa kabisa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] chedi avae
 
18. Culture Me
Mtetezi wa Haki za Binaadam, anatetea binaadam wote waishi sehemu salama bila kujali gender wala sexuality yao,

19. cocastic
Anatetea Wapenzi wa Jinsia moja, ana kifua cha kuvumilia mengi matusi, kejeli yeye hajali wala nini kikubwa msimamo wake kaushikilia, anachukiwa na wale cyber bullied sababu hajui kukasirika muda wote ni kicheko tu.

20. Dream Queen
Huyu wewe mwenyewe unamjua unaweza ukamuelezea anavyokubanaga ukikatiza angels zake za kusema Wanawake au wale wasema Watoto, hapendi kabisa kuona Watoto wanaonewa na ana pumzi za kuweka ligi hachoki hata iwe wiki nzima za mabishano, kuna watu wanamtambua kama rude member wa JF.

😂😂😂
Hao wote wajingawajinga.

Huyo culture me, Demi, Rebecca, Dr. Mariposa, Anna makirita, na kuna mmoja hivi amenitoka ni genge ambalo ukiwasema Wanawake lazima mmoja wao Atie timu.
Nikiandikaga mada yoyote huwaga najua member gani watakaokuja hapa kujibu mashambulizi 😊😊

Ingawaje siwachukii
 
Back
Top Bottom