Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Nimekuuliza, wewe siô kinara kubishania Dini yako humu?
Mkuu kwani mtu kusimamia imani yake na kuitetea ni kosa? Au mtu kuishi kwenye falsafa za dini yake ni jambo baya?

Humu hua kuna watu wanapenda kukashifu imani za wenzao,hao watu hua sio wa kuwaacha hata kidogo,unapiga nyundo mpaka siku nyingine akiiona ID yako anapita mbali nayo.
 

Mkuu kwani nimesema Mtu kuwa na Ligi humu au kuwa na falsafa NI Kosa.

Mimi nimeandika Watu weñye Ligi na falsafa zào.
Sijaandika Watu weñye Ligi na falsafa zisizo nzuri.
 
Soma bichwa lakonla habari, halagu nikuulize, Uislam ni falsafa yangu?

Kumbuka, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu, Uislam siyo falsafa yangu, nimeukuta Uislam na nimeupenda Uislam.

Hilo zuri au baya kwako?

Uislam NI falsafa.
Sasa kama hujui kma Uislam ni falsafa Basi unamengi bado ya kujifunza
 
Uislam NI falsafa.
Sasa kama hujui kma Uislam ni falsafa Basi unamengi bado ya kujifunza
Sasa jisome wewe, kwanini useme ni falsafa yangu? Jikumbushe bichwa lako la habari.

Aliyekwambia Uislam ni falsafa kakujaza ujinga. sema Waislam wana falsafa zao. Uislam siyo falsafa ya yeyote yule.

Mi falsafa yangu siyo Uislam, Uislam ni dini yangu na najivuznia kuwa Muislam,

Ushoga ni falsafa yako? Au siyo?

Uislam kama hauujuwi ni heri utuulize Waislam kuliko kuufikiria Uislam kikristo au ukadhani Uislam ni kama ukristo. Kumbuka hili.
 


Your browser is not able to display this video.
 
raraa reree
Huyu jamaa ana falsafa ya kutoa likes haijalishi post yako ni mbaya au nzuri yaani linapokuja swala la likes huyu jamaa hana baya.
 

Ushoga NI falsafa ya Mumeo na Babaako ndio Maana haukuishi mdomoni
 
Soma bichwa lakonla habari, halagu nikuulize, Uislam ni falsafa yangu?

Kumbuka, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu, Uislam siyo falsafa yangu, nimeukuta Uislam na nimeupenda Uislam.

Hilo zuri au baya kwako?
Madam fanya yameisha yeye hajamaanisha falsafa Bali unachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…