Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Moja kwa moja
Lucas mwashambwa,huyu kila akileta habari utasikia waTanzania watetemeshwa na kishindo cha samia.

GENTAMYCINE, huyu ni moja ya member maarufu hapa JF anajulikana kwa michango yake mingi hususani kuhusu simba sc Tanzania,huwa pia anatoa ushauri kwa watu,taasisi,serikali etc Dkt. Gwajima D anamjua vizuri kwenye suala hili.

Pascal Mayalla, huyu anaheshimika na wengi hapa JF kutokana na mada zake fikirishi kwenye siasa,uchumi,tasnia ya habari etc.

dronedrake na Liverpool VPN, hawa ukileta mada yoyote ya kuoa utawaona wana-slogan yao kataa ndoa.

raraa reree, huyu huwa anatembeza likes kwenye kila post.

ChoiceVariable, huyu huwa anaponda kazi zote alizofanya JPM na kumsifia Samia mwanzo mwisho. Nimpenda maendelo pia.

cold water,huyu ni mpika chai hapa JF( story zozote za uongo uongo za mahusiano)..
Mshana Jr,mambo ya uganga,mizimu etc utayakuta hapa..
DR HAYA LAND,huyu amejikita kwenye kutoa ushauri hususani wa maisha..
Clegy,huyu anaipenda Tz....to be continued
CAPO DELGADO na Wewe jitahidi sana uwe unakuwa Credited hivi kwani ni dalili tosha kuwa una Umuhimu, Thamani na Madini mengi Kichwani.
 
Mimi sio mwalimu mkuu tafadhari nitake radhi, siwezi kuwa sehem ya laana
IMG_20231106_114640.JPG
 
Kwema wakuu!

TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani kuna member ambao ni waasisi na ma-father wa Ligi Fulani Fulani. Yaani wao mawazo Yao Kwa sehemu kubwa yamejikita kwenye hizo ligi. Tusipoteze muda.
Orodho ni kama ifuatavyo;

1. Liverpool VPN,
Muasisi wa KATAA NDOA.
Waenezaji WA falsafa hii ni kina dronedrake na wanazuoni wenzake.

2. Smart911
Huyu mdau huwezi kumtenganisha na Falsafa ya "Tatizo la binadamu WA siku hizi ni wabishi Sana"
Yeye mtukane utakavyomtukana, andika utakachoandika lakini jibu lake ndio Hilo.
Hanaga Maneno mengi, unaweza ukadhani hajui Kiswahili,

3. Mshana Jr,
Huyu humu ndani kajipambanua kama Mzee wa ulozi na vilinge,
Anapenda nadharia za ulozi na Uchawi.
Ndiye founder na Father WA ulozi humu, wenzake ni kina Mzizimkavu na Rakims ambao siku hizi wameadimika.

4. FaizaFoxy
Huyu Mama ni Mzee wa "Huko shuleni mmeenda kusomea ujinga"
Huyu falsafa yake imejikita zaidi kwenye Dini ya uislam. Huyu hata kutema mate atataka rejea ya maswahaba wa mtume.

5. Jokajeusi.
Huyu yeye falsafa yake ni "Mwanamke anapaswa Aolewe Bikra"
Yeye kila kitu ni Bikra linapokuja suala la mahusiano.

6. Mpwayungu Village
Huyu yeye ni mwalimu lakini falsafa yake inasema "ualimu ni Laana"

7. Kiranga
Falsafa ya huyu mwamba ni "hakuna Mungu wala Shetani"
Huyu mtabishana mpaka mnyongane,
Yeye humu ndani ndiye Baba WA hiyo Ligi, ingawaje wapo wasaidizi wenza.

8. Demi
Huyu ni mwanamama mwenye falsafa za Haki na usawa baina ya mwanaume na Mwanamke. Yeye na Rebecca, culture me, Mama Wardat, Depal, inapotokea Ligi hasa za usawa au kutetea Wanawake yupo mstari wa Mbele.

9. GENTAMYCINE
Huyu jamaa yeye falsafa zake ni zakujimwambafai, majigambo, mikwala kibao lakini emotional intelligence yake ni sifuri. Huyu analigi nyingi mno na yupo tayari kupambana na yeyote.

10. Istanbul
Huyu ni Mzee wa Ligi za kupambania Wahaya. Utakapowataja Wahaya humu ndani hasa Kwa ubaya huyu jamaa atanunua hiyo kesi na Ligi itaanza Rasmi.

11. Mohamed Said
Huyu Mzee wetu bhana tunamheshimu, yeye Ligi yake kubwa Ipo katika Uislam na Historia na nchi Hii.
Yaani piga ya garagaza hata azungumzie kitu gani ni lazima alinasibishe na Uislam. Anaweza anzia Huko mbali wee, lakini kituo chake utasikia Wazee wa Rufiji sijui wazee wa bagamoyo wakawa ndio wakwanza kulianzisha Jambo Hilo. Namuitaga Mzee wa viambatanisho kwani ni lazima aweke picha alafu aseme, picha hiyo ni Baraza la wazee wa kiislam wa Rufiji wa Wakati huo,

12. MK254
Popote utakapomuona huyu member ujue hapo aidha anaponda Waislam ambao anapenda kuwaita wavaa kobazi, au anawaponda Warusi.
Yeye hiyo ndio kazi yake humu JF, Hana kazi nyingine. Ligi yake ndio hiyo.
Falsafa yake ni kuwa uislamni dini inayokandamiza Haki za Watu wengine hasa Wanawake. Huo ni Mtazamo wake na hakuna sheria ya kuzuia mitazamo ya Watu.

13. Mama D
Huyu falsafa yake ni katika ibada, mambo ya maombi maombi, hapendi fujofujo, anaamini katika Maombi.
Kama utataja Jambo lolote linalohusu malezi na maombi basi huyu Mwanamama atatia timu.

14. Bujibuji
Huyu mwamba yeye falsafa zake ni mrengo wa Kati, uzamani yupo, Usasa yupo. Kutokana na umri wake Ligi haziwezi na hashirikigi Kwa kuhofia kuvunjiwa heshima na watoto wa siku hizi waliovurugwa.
Majibu yake hayatofautiani Sana na Mshana Jr,

15. Extrovert
Huyu falsafa yake ni kukubaliana na kuheshimu mawazo ya wengine.
Wafuasi wenzake ni kina raraa reree.
Ingawaje Extrovert ni mfuasi wa Magufuli hivyo ni rahisi Uvumilivu kumshinda pale unapomzungumzia Jpm Kwa ubaya.

16. Bill Lugano AKA Kidukulilo
Huyu mwamba Kwanza hana Ajira, ingawaje anapiga part-time.
Huyu Hana muda wa kukujibu au kujibizana na watu Kutokana na kuwa kwenye ubongo wake unamabilioni ya fedha. Yeye anaamini mabilioni halipo Ubongoni ndio yanamfanya awe Tajiri.
Hivyo zile Stori zake ingawaje ninyi mtamuona kachanyikiwa lakini yeye anajiona ni kweli mi Tajiri.

17. Pascal Mayalla
Mzee wa "Kwa Maslahi ya Taifa", na "The Voices from Within" huyu jamaa ni muumini wa karma, lakini pia ati anasemeshwaga na Muziki sijui ndio Roho mtakatifu, yaani kuna Sauti ATI inamuongeleshaga😄
Mzee wa Kura moja, Mzee wa ku-declare interest😄😄nafikiri humu JF ndio member pekee akifuatiwa na Popoma ambapo akitoa hoja basi watatokea wapingaji wengi zaidi wakimshambulia direct.
Huyu Ligi yake kuu ukitaka ajitokeze mafichoni basi elezea mambo ya jpm au ya Urais wa Samia in detail, yaani uelezwe mambo ambayo hakuna anayajua. Lazima ajitokeze.

18. To yeye au Beesmom
Huyu falsafa yake ni Mwanaume ni Mwanaume na lazima aheshimiwe, na Mwanamke abaki kwenye nafasi yake.
Anapenda ndoa inayofuata mfumo dume. Anapenda mwanaume anayejua kupiga mzigo. Huyu wanazuoni wenzake wanaofanana tabia ni kina Sophy, Lenie, Bantu Lady, Binti Kiziwi.

19. Luambo Makiadi
Huyu mwanazuoni anaamini kuwa Kanda ya kaskazini ndio inawatu Bora na wenye Akili kuliko Watu wengine hapa nchini. Ukitaka ajitokeze basi itakupasa uiponde Moshi au wachagga hapo lazima umuone.
Hasimu wake katika ulingo ni Instanbul, hawa ni mahasimu katika Ligi hasa ya wachagga na Wahaya. Sio kwamba ni mahasimu wa kuchukiana bali wakugombea Ufahari

Taja wengine wenye Ligi zao humu yaani ukizungumzia Jambo Fulani lazima aje kulitetea au kuliponda Kwa nguvu zote na mtakesha humu, ikiwezekana wapo tayari kupigwa Ban lakini sio kushindwa vita.
Ni hao ........wewe je?
 
m.bona m.m. hujanwweka hapo
 
Lara1 huyu kapotelea wapi?
 
I

Isipokuwa umeona bdiyo kigezo chako chako cha kuniandika?

Ikiwa wewe unatema mate mbele za watu au sehemu wanazopitapita au kukaa watu, elewa kuwas Uilam unakataza hilo kuwa ni karaha kwa wengine.

Uislam umesisitiza sana kutokukirihisha wengine.

Baya hilo?

Humu ndàni hata ukifa Leo Jambo kûbwa àmbalo utakumbukwa ni Kumiliki Ligi ya kutetea Dini yako ya kiislam.

Sijasema kwamba NI Jambo Baya au nzuri.
Mimi nazungumzia ishu ya Ligi kama Ligu.
Kuhusu ubaya au ûzuri unàtaka Mada ñyiñgine.

Sitaki kubishana Leo
 
Huwezi kuwa kama shoga, ambae hajielewi kulawitiwa ni kuzuri au kubaya.

Au ulichoandika ni kizuri au kibaya, hilo uwe mkweli.

Usijaribu kucheza na mimi kwa maneno, mimi siyo kondoo.
 
Acha Bangi.

Kama Una stress zako usiniletee Mimi.

Kipi ambacho nimesema kukuhusu ambacho siô kwèli?
Hupendi Ligi za kidini hasa kutetea Uislam wako?

Mbona kûna Waislam humu kibao àmbao huenda wamekuzidi Karibu kîla kitu kuanzia Elimu ya Dini, uchaji Mungu na kufuata Uislam lakini waô huwakuti kwèñye hizô Ligi za kutetea Dini?

Acha Bangi Budah
 
Hik9njwako z

Hilo kwako zuri au baya?

Ikiwa ni "stress" zangu mimi, ikiwa ni bangi zangu mimi, wewe zinakuhusu nini?
. Mimi nasema, kama ushoga ni wako wewe sikuingilii nao hata kidogo.

Kumbuka tu, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.
 
Back
Top Bottom