Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

[emoji23][emoji23][emoji23]
JF nimeanza kuipitia nikiwa Kidato cha tatu Huko miaka ya 2010 hivyo ninauzoefu nayo Kwa kuwasoma Watu humu.
Kuanzia miaka ya 2015 Vijana WA matusi walianza Rasmi
Hata mimi nimeanza kusoma humu JF toka nipo secondary ila nilikua nasoma tu thread bila kujiunga ila nawafahamu wachache sana. Me huwa nasoma uzi na mara chache kuangalia aliyeuleta huo uzi
 
Wengine hatuwezi kusoma kizamani bila kujua mwandishi
 
Back
Top Bottom