Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

DeepPond mtetezi wa michepuko

cocastic huyu dada yangu mtetezi wa mapenz ya jinsia moja

BIL lugano huyu n mtaalam wa kuhamasisha utajir na kuukataa umasikini kwao kajunjumele mbeya

mzabzab huyu yeye n mtaalamu wa mapenz kila mada inayohusu mapenz yupo na anaweza kutongoza bila aibu akigundua I'd n ya kike

MosDef huyu n mkuu wa jukwaa la michezo la Liverpool uchambuz ulioshiba na wenye tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…