Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Kwenye siasa kuna johnthebatist na Lucas mwashambwa hawa ni watetezi nguli wa ccm usiiseme ccm vibaya watakuja lkn upande wa pili kuna OKW BOBAN SUNZU, Sky Eclat, Salary Slip dah na mwingine sijui nani jina lake la dawa hivi sijui encr... linashinda hao na chadema chupi na tako wao ndo wazee wa kumponda magu na sukuma gang kwenye sports aisee Labani og humwambii kuhusu yanga
 
Back
Top Bottom