Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wa wanawake wasomi wanataka uhuru na usawa, ambavyo vinawezekana kikamilifu wakiwa ma-single.
Ile kanuni ya asili, sawa na maandiko, ya KUTAWALIWA na mume wanaona ni kero..
Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
[emoji122][emoji122][emoji122]Maneno aliyoongea Mungu kwa hasira
Adamu - Utarudi mavumbini
Eva - Mumeo atakutawala
Haibadilishiki wala haikanushiki siku zote mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi wa mke wake na familia. Haijalishi kama huyo mke ni msomi au lah.
Na jinsi shetani anavyotupenda wanaume sasa, yan wakianza kutaka kutupanda kichwani tu shetani anatuambia tuwadump analeta wenye unyenyekevu[emoji122][emoji122][emoji122]
Tatizo dada zetu siku hizi wameota mapembe, akili zao ni kutaka kupindua meza, wawe watawala katika nyumba na kichwa cha familia.
Wanataka waende kinyume na agano la Mungu mwisho wake wanaangukia kwenye agano la shetani.
😅😅😅😅Bora ubaki hapo hapo pa kutokujua Nini tunataka..la sivyo utakufwa bure .
Mkuu na ndo chuki ya mtoto kwa dingi inapoanzia😅😅Single mama wengi siku hizi wanataka kuwa kama Mama Dangote.
KabisaaElimu inawapa jeuli. Mwisho wa siku wanaangukia pabaya. Ndiomana kuna tofauti kubwa sana baina ya binti wa praimari, secondary na wachuo. Vibinti vyachuo maranyingi vinakuwaga na visilani, vibuli, ujuwaji n.k.
Kabisa mkuu
Kabisa mapenzi ya baba ni muhimiliTafiti zipo wazi ;
Watoto waliolelewa na mzazi mmoja (Single Mother) huwa katika hatari kubwa zaidi ya Kupata mimba utotoni, kama ni wa kiume kumaliza shule huwa ni ngumu. Wa kiume ndio huathirika zaidi kwa kukosa Strong Role Model (Baba yake) hivyo hujikuta akikosa ujuzi na busara muhimu kutoka kwa Baba ambazo zingemsaidia kuboresha maisha yake. Wanawake mjitahidi kuzaa katika Ndoa, Mkishindwa basi hakikisha Baba Mtoto anahusika katika malezi. Mapenzi ya Baba ni muhimu kuliko mnavyodhani!
😅😅😅😅Na jinsi shetani anavyotupenda wanaume sasa, yan wakianza kutaka kutupanda kichwani tu shetani anatuambia tuwadump analeta wenye unyenyekevu
Kabisaa😅😅😅Akili za Feminist niza hovyo Sana
Naunga mkono kabisaa ...kamwe haibadilishikiManeno aliyoongea Mungu kwa hasira
Adamu - Utarudi mavumbini
Eva - Mumeo atakutawala
Haibadilishiki wala haikanushiki siku zote mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi wa mke wake na familia. Haijalishi kama huyo mke ni msomi au lah.
Aiseeewa hivo unakuta mama zao hawakuolewa nao walikuwa masingle maza na wameshamezeshwa sumu za kifala.
kama sio utakuta mama yake ni wale wanawake wanao waendesha waume zao sana ndani ya familia
kabla ya kumuoa mwanamke chunguza sana familia anayotoka ni ya aina gani usije fungashiwa mbuzi kwenye gunia afu badae ukaanza kuweka mikono kichwani.
mwanamke anayetoka kwenye familia ambayo baba na mama wanaishi pamoja kwa upendo ktk ndoa na ukute baba anaheshimika kwa mama na watoto, hawezi kuwa na mawazo mgando kama hayo walokuwa wanadiscuss.
nakupa assignment, kachunguze huyo binti familia anayotoka lazma utakuta inakasoro tajwa hapo juu. Na ukisha chunguza tuletee mrejesho.