Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #41
Ni ngumu,, mkuuTutapata wake wema kweli? Mh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu,, mkuuTutapata wake wema kweli? Mh!
Kabisaa
Vipi umeolewa na ni mama tayari?Huyo nesi aliyekua anamlisha sumu mwenzie..ni kwamba yeye aliingiaa chaka bovu..ss anajaribu kumdanganya na mwenzie asikubali kuolewa wakati ndoa haziko sawa...HIYO NI SUMU MBAYA SANA ANAMLISHA na kumpotosha...
Ili ajifariji "wanaume wote mbwa tu"Hapo utakuta upweke unamtesa ila anajificha kwenye kivuli cha "kuolewa sio dili" Anataman kuona wote wakipitia maumivu anayopitia yeye sahv
Waache waendelee kujazana uozo ili wachache wao wanaojitambua thamani yao izidi kupanda.Wasaalam
Wakuu,
Leo asubuhi nilidamka mapema , wakati huu nilikuwa natoka kibaruani wakati najongea mdogo mdogo nyumbani nikapanda hewani nikampigia Mama, naam mama daVinci XV ,Nilimpgia asubuhi kwa sababu Mosi , ni Mila na Desturi zangu kumtaka hali kila uchao lakini pili nlitaka kuchota machache kuhusu siri nyingine zaidi na zaidi juu ya mwanamke ikiwemo yeye kuishi na Mzee wangu mpaka hivi sasa licha ya misuko suko ya ndoa
Ni ubinafsi tu walioumbiwa...yaan wanawake ni selfish by natureWote hatuwezi jua wanawake wanataka nini ila, mwanamke akishakuwa na uhakika wa maisha yke bas huwa anakaa mbali na mwanaume anajitenga nasi wakiamini kwamba bila sisi wanaweza kuishi Tena kwa furaha zaid
Halafu wakishabanwa ...wanaanza kudai ile 50/50 na kanuni yaa Uumbaji kwamba sisi tutakuwa juu yao inavunjikaKama nimeanza kuwaelewa Wataliban wa Afghanstan kwamba hawa dada zetu ukiwapa uhuru usio na mipaka bila restrictions matokeo yake ndiyo haya social anarchy n chaos sifa imekuwa usingle mother, kuzaa bila ndoa, watoto wasio na baba, kudanga (prostitution) imekuwa sifa na maovu yote.
😅😅😅kabisaaaNi ubinafsi tu walioumbiwa...yaan wanawake ni selfish by nature
Kabisaaa mkuuWaache waendelee kujazana uozo ili wachache wao wanaojitambua thamani yao izidi kupanda.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Mi huwa namdharau mtu mwenye dharau kama ulivyo weweKaka yangu ana tabia kama yako ya kila jambo lake anamuomba mama ushauri.
Kiasi anaweza gombana na mtu hapa kinachofuata ni simu kwa mama kujielezea.
Akiniomba kitu nisipompa ni simu kwa mama.
Nadharau watu wenye tabia hizi.
Fresh tu. Mama's boy mnazingua sanaMi huwa namdharau mtu mwenye dharau kama ulivyo wewe
Ongea na kaka yako pamoja na mama yako, kwenye familia kila mmoja anawajibu wa kumrekebisha mwenzake pale akoseapo ili kujenga familia bora.Kaka yangu ana tabia kama yako ya kila jambo lake anamuomba mama ushauri.
Kiasi anaweza gombana na mtu hapa kinachofuata ni simu kwa mama kujielezea.
Akiniomba kitu nisipompa ni simu kwa mama.
Nadharau watu wenye tabia hizi.
Ongea na kaka yako pamoja na mama yako, kwenye familia kila mmoja anawajibu wa kumrekebisha mwenzake pale akoseapo ili kujenga familia bora.
Mbona Kuna mmoja huku kitaa anaishi na Baba na mama yake lakini anagawa kama nini, Hadi tunamhisi anapepo la ngonoKama nimeanza kuwaelewa Wataliban wa Afghanstan kwamba hawa dada zetu ukiwapa uhuru usio na mipaka bila restrictions matokeo yake ndiyo haya social anarchy n chaos sifa imekuwa usingle mother, kuzaa bila ndoa, watoto wasio na baba, kudanga (prostitution) imekuwa sifa na maovu yote.
Yes married .8 yrs....mother of 2...Vipi umeolewa na ni mama tayari?
uko vizuri sana but kwa hawa wanawake ufufu wa watakuona zilipendwa, be yourself big upYes married .8 yrs....mother of 2...