Hawa ndio wanawake wetu wasomi, bado hatuelewi nini wanataka

Kuna ticha mmoja ni rafiki wa mke wangu. Huyu ticha kaolewa ila wanaishi mikoa tofauti na mume wake. Jinsi wanavyopiga stori na mke wangu lengo la ticha ni kupata watoto wawili kisha aachane na mume wake.

Anachojivunia na kuona hana uhitaji na mume ni kwa vile tu ni muajiriwa huko serikalini, anasema ajira yake ndio mume wake.
Anamwambia mke wangu kwamba nyinyi msio na ajira ndio mynenyekee waume zenu,kwa hiyo mke wangu angekuwa na ajira huyu ticha angemshauri upumbavu wake anaowaza. Ipo siku huyu ticha inabidi nimchane.
 
Mbona Kuna mmoja huku kitaa anaishi na Baba na mama yake lakini anagawa kama nini, Hadi tunamhisi anapepo la ngono
Mkuu me nadhani ukishakuwa mtu mzima anauejitambua basi utajua lipi jema lipi baya hii ni kwa pande zote mbili iwe male au female

Ukizungunzia Suala la Binti kubeba mimba bila ndoa nadhani mwendawazimu mkuu ni mwanaume mwenye mihemko ya speed 80.
Tatizo sio kubeba mimba bila ndoa tatizo nikuhudumia mtoto aliyezaliwa, wanaume wengi wanakataa kuhudumia ilimradi tu wasijulikane kama wana mtoto wa nje ya ndoa pale watakapotaka kuoa. Hii inatokana na imani potofu ya jamii yetu juu ya ndoa nini, mitazamo ya kidini juu ya ndoa inasaidia sana ila kwa upande mwingine inatia fear kwa wahusika yaani unakuta mtu yupo tayari kumtelekeza mtoto alimradi asionekane kuwa alizini kabla ya ndoa. Nonsense.

Mungu aniepushie dhambi hiyo, mi nikitotolesha nalea tu na nikimpata wa kuoa namchana kuwa nina mtoto fullstop anataka aje hataki aende wapo wengi kuliko sisi.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
Tatizo dada zetu siku hizi wameota mapembe, akili zao ni kutaka kupindua meza, wawe watawala katika nyumba na kichwa cha familia.
Wanataka waende kinyume na agano la Mungu mwisho wake wanaangukia kwenye agano la shetani.
Yule. NYOKA karudi tena. Anaongea nao tena. Kama ambayo waliharibu kipindi kile ndio wanaharibu Sasa. Yule Nyoka anajua kabisa NDOA I mara inazalisha malezi bora kwa watoto but single parenting ni shimo la choo. Na ndio maana unaona wadada wengi Wana hiyo mindset sababu yule best friend wao SNAKE karudi na anaongea nao kila siku.......na hiyo ndio last card yake kuharibu mfumo mzuri wa malezi
 
Kuna ticha mmoja ni rafiki wa mke wangu. Huyu ticha kaolewa ila wanaishi mikoa tofauti na mume wake. Jinsi wanavyopiga stori na mke wangu lengo la ticha ni kupata watoto wawili kisha aachane na mume wake.

Anachojivunia na kuona hana uhitaji na mume ni kwa vile tu ni muajiriwa huko serikalini, anasema ajira yake ndio mume wake.
Anamwambia mke wangu kwamba aninyenyekee kisa hana ajira,kwa hiyo angekuwa na ajira huyu ticha angemshauri mke wangu upumbavu wake anaowaza. Ipo siku huyu ticha inabidi nimchane.
Tena piga marufuku kumuona kwako na mwambie mkeo utaki ajihusishe na urafiki na watu wajinga wajinga kama.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Waache wazae na hao matajiri,ila wa kuwafariji tutakuwa sie boda boda

Maana hao wanaume wenye hela tayar ni wanaume wa watu,hawawez pata muda wa kuwa nao,hapa ndo boda boda tuna play part yetu mwsho wa siku tunapewa kadi za bank
Kabisaa.kabisaa
 
Kuna ticha mmoja ni rafiki wa mke wangu. Huyu ticha kaolewa ila wanaishi mikoa tofauti na mume wake. Jinsi wanavyopiga stori na mke wangu lengo la ticha ni kupata watoto wawili kisha aachane na mume wake.

Anachojivunia na kuona hana uhitaji na mume ni kwa vile tu ni muajiriwa huko serikalini, anasema ajira yake ndio mume wake.
Anamwambia mke wangu kwamba nyinyi msio na ajira ndio mynenyekee waume zenu,kwa hiyo mke wangu angekuwa na ajira huyu ticha angemshauri upumbavu wake anaowaza. Ipo siku huyu ticha inabidi nimchane.
Anaharibu mienendo ya mkeo
 
hatari sana
 
Hkuna
Maneno aliyoongea Mungu kwa hasira
Adamu - Utarudi mavumbini
Eva - Mumeo atakutawala

Haibadilishiki wala haikanushiki siku zote mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi wa mke wake na familia. Haijalishi kama huyo mke ni msomi au lah.
Hakuna Mwanamke asiyetamani kuwa na,mume, ila baadhi wakikosa hasira na, kuchaganyikiwa kwao huhamishia kwa kuwachochea wanawake wengine wasiolewe.

Wanau.me wengii hasa wa mijini huingia chaka kwa kudhani lila mwanamke anafaa kuwa mke; Yuko mwanamke ni kwa ajili ya kuchapa tu akini sio wa kuoa. Na wako wanawake wanaofaa kuolewa, inabidi wanaume Wajue kusort. Ukiwa makini toka mwanzo si rahisi kujuta katika ndoa.
 
Wasomi vitini hao kaka na msomi Hana sifa moja angalia mawazo yao utaona elimu waliyonayo waliitafuta km ulinzi wa maisha yao.
Kuna zaidi ya elimu waliyopewa darasani inahitajika .
Wengi wanaongozwa na hisia na ndivyo alivyo-umbwa (umbwa) mwanamke.
Analytical Mind yake muda mwingi airplane mode.
 
Wote hatuwezi jua wanawake wanataka nini ila, mwanamke akishakuwa na uhakika wa maisha yke bas huwa anakaa mbali na mwanaume anajitenga nasi wakiamini kwamba bila sisi wanaweza kuishi Tena kwa furaha zaid
So umeamua nini baada ya kujua hilo?
 
Kuna ticha mmoja ni rafiki wa mke wangu. Huyu ticha kaolewa ila wanaishi mikoa tofauti na mume wake. Jinsi wanavyopiga stori na mke wangu lengo la ticha ni kupata watoto wawili kisha aachane na mume wake.

Anachojivunia na kuona hana uhitaji na mume ni kwa vile tu ni muajiriwa huko serikalini, anasema ajira yake ndio mume wake.
Anamwambia mke wangu kwamba nyinyi msio na ajira ndio mynenyekee waume zenu,kwa hiyo mke wangu angekuwa na ajira huyu ticha angemshauri upumbavu wake anaowaza. Ipo siku huyu ticha inabidi nimchane.
Acha ukuda, mchane sasa. Wa wapi we jamaa mbona unaonekana mshamba mshamba sana
 
Back
Top Bottom