Hawa ndio wapenda kuvaa suruali za vitambaa jf /nguo...

Hawa ndio wapenda kuvaa suruali za vitambaa jf /nguo...

Asprin angekuwepo angetusaidia na picha
My dear mimi wananionea tu...

1582315808330.png
 
Hawa watu wafuatao ni wavaa suruali waliobobea kunako fani hii..
Ni zile suruali zao zinazong'aa kama bati (satini)
Pia huwa wanavalia suruali tumboni...
Lucas Mobutu
CONTROLA
Nyaru-sare
Daby
Mshana Jr
Kawe Alumni
MKWEPA KODI
Asprin (huyu anavaaga na vinyandu siku nyingine)
Kichwa Kichafu
Ushimen (jina lake tu linasadifu yaliyomo)
Bujibuji
Bonny
Smart911 (huyu mambo yetu huwa anatuachia wenyewe)
RRONDO
troublemaker (huyu ni kijana mzee)
matunduizi (toka enzi za mkoloni yeye ni vitambaa tu)

Hawa ni wachache tu wengine mtaongezea..
wewe umefahamu vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaah! Mkuu pancho wa pancha unatisha Baba.
Nilivaaga enzi za mcheremchele tena kanisani. Vitoto si kunizunguka mkuu.
Utaskia wa mjini kaja n beatle.kobe.

Mbona wewe na pekosi yako haumo?
 
Hawa watu wafuatao ni wavaa suruali waliobobea kunako fani hii..
Ni zile suruali zao zinazong'aa kama bati (satini)
Pia huwa wanavalia suruali tumboni...
Lucas Mobutu
CONTROLA
Nyaru-sare
Daby
Mshana Jr
Kawe Alumni
MKWEPA KODI
Asprin (huyu anavaaga na vinyandu siku nyingine)
Kichwa Kichafu
Ushimen (jina lake tu linasadifu yaliyomo)
Bujibuji
Bonny
Smart911 (huyu mambo yetu huwa anatuachia wenyewe)
RRONDO
troublemaker (huyu ni kijana mzee)
matunduizi (toka enzi za mkoloni yeye ni vitambaa tu)

Hawa ni wachache tu wengine mtaongezea..
Alafu dogo ulivo kauzu.umewaweka top five watu fulani. pascal mayala ndo alitakiwa hiyo nafasi
 
Aaaah! Mkuu pancho wa pancha unatisha Baba.
Nilivaaga enzi za mcheremchele tena kanisani. Vitoto si kunizunguka mkuu.
Utaskia wa mjini kaja n beatle.kobe.

Mbona wewe na pekosi yako haumo?
Mkuu si naskia mpaka leo unavaa mchele mchele? Hahah

Me kwa sasa ni Bonge la mnyawezi labda nyie 😀😀😀
 
Back
Top Bottom