Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
-
- #41
wewe rika yangu, huyo bahanuzi alikua wa moto.Said Bahanuzi ndo alinifanya nikaipenda Yanga😄
napenda sana hizi momentsHilo jina usikie linatamkwa na Charles Hillary wakati huo akitangaza, tumezunguka radio mtaani, maisha hayana stress wakati huo.
Nilikua class 2 kila asubuhi nikienda shule nakutana nae ametoka mazoezini, ni handsome balaaa ananivutia.wewe rika yangu, huyo bahanuzi alikua wa moto.
nahisi bahanuzi angewika kipindi hiki cha social media sijui ingekuwaje. na alishaini sana kagame cup pekee
malizia stori, imeishia njiani hivii,,,,Nilikua class 2 kila asubuhi nikienda shule nakutana nae ametoka mazoezini, ni handsome balaaa ananivutia.
Nikauliza binamu yangu huyu kaka kila siku tunakutana nae ni nani?
Akanambia Bahanuzi huyo mchezaji wa Yanga🙌😂 Tokea siku hiyo na mimi nikawa YANGA💛💚
Wengi wamechoka, Mpira kipindi hicho haukuwa biashara kama sasa so wengi wapo mtaani Tu, Mimi nimekuwa mtaani Karibu kabisa na walipokuwa wanakaa Peter Tino, Gebo Peter na ndogo wao anaitwa Emma Peter, hii familia yote ilikuwa ina damu ya Mpira, Ila daaah, inasikitisha maana kuna wakati nilikutana na Emma Peter, kachoka kachakaa hata sijui wapo wapi sasa.napenda sana kujua maisha yao wachezaji hasa baada ya soka!
Mbona nimemaliza! Sema unachotaka kusikia😂malizia stori, imeishia njiani hivii,,,,
akiwa hapa bongo!Joseph kaniki golota alipata msala wa,upunda nahisi atakuwa ashaachiwa huko
Ova
hahaa, nyie mnajuana.Mbona nimemaliza! Sema unachotaka kusikia😂
SIjui chochote kumuhusu kwa sasahahaa, nyie mnajuana.
vp yuko wapi kwa sasa baada ya kustafu soka?
yaah documentary ni muhimu hasa kwa sisi ambao hatujawahi washuhudiaWengi wamechoka, Mpira kipindi hicho haukuwa biashara kama sasa so wengi wapo mtaani Tu, Mimi nimekuwa mtaani Karibu kabisa na walipokuwa wanakaa Peter Tino, Gebo Peter na ndogo wao anaitwa Emma Peter, hii familia yote ilikuwa ina damu ya Mpira, Ila daaah, inasikitisha maana kuna wakati nilikutana na Emma Peter, kachoka kachakaa hata sijui wapo wapi sasa.
Kuna siku nilikutana na Kenneth Mkapa Arusha alikuwa poa kabisa tena tulikutana tizo asubuhi pale Sheikh Abeid, wapo wengine waliona mbali wakajiendeleza na ukocha, biashara kama Minziro,Jamhuri Kiwelu, Jamhuri alikuwa na mdogo wake anaitwa Mtwa Kiwelo sijui yupo wapi sasa, Ila ipo haja iandaliwe documentary moja kuhusu kile kizazi, nafikiri itakuwa poa Sana.
nakumbuka gazeti la mwanaspoti iliandika miaka hiyo kuwa "bahanuzi avunja ndoa za watu dar"SIjui chochote kumuhusu kwa sasa
Duh zamoyoni yupo Ana dunda tuUna kaulegend kiaina kama ulimsikia Lunya na Mogella.
Alikua handsome sanaaa! Wewe fikiria nilikua darasa la pili lakini nilidatanakumbuka gazeti la mwanaspoti iliandika miaka hiyo kuwa "bahanuzi avunja ndoa za watu dar"
Lunyamila ni WA miaka ya 90 hv, nafikiri ni mmoja wa wachezaji Bora kabisa kutokea Tanzania, alitokea Shinyanga huyu kama sikosei, Jamaa alikuwa na chenga balaa,kuna story nilisikia kwamba Marehemu Abbas Gulamali alihakikisha Jamaa anarudi kutoka Germany alipokwenda kujaribu kucheza soka la kulipwa ili tu aje acheze game na Simba, sikupata uhakika wa hii story ila Jamaa Mpira alikuwa anaujua Sana.Lunyamila mtamuachaje
Ova
halooAlikua handsome sanaaa! Wewe fikiria nilikua darasa la pili lakini nilidata
For sure......yaah documentary ni muhimu hasa kwa sisi ambao hatujawahi washuhudia
Ulikua ujaelewa kumbe!haloo