Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
-
- #121
nemess katajwa na watu wengi, huenda ndio alikua ngasa wa zamaniKasongo Athuman,Stephen Nemess,Mackenzie Ramadhan, Deo Njohole, Deo Mkuki,Amir Maftah,Method Mogella,Abeid Mziba, Makumbi Juma,Sahau Kambi,Will mkandawile,Will Martin asee list ndefu........
Ni sahihi. Kwa wakati wako upo sahihi. Endelea kushusha majina ya wakati wako.Hii maana yake orodha ni ndefu Sana kulingana na wakati.
itakua ndio huyu mwanae kacheza worldcup 2022-Qatar .Si yupo Uarabuni au mwingine?
Alikuwa kipa huyo mzee sio mshambuliaji(Winger) kama Ngasa.nemess katajwa na watu wengi, huenda ndio alikua ngasa wa zamani
duh! hii sijawahi isikiaMichael Paul aliishia kwenye wizi wa magari na ujambazi kipindi kile.
inaonekana alikua tishio balaaAlikuwa kipa huyo mzee sio mshambuliaji(Winger) kama Ngasa.
2,6,9,11 dah kitambo1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
aiseeh, ndie alikua anatukimbizia tbc taifa. hope ilikua inaitwa redio tanzaniaSi alifariki yule muda tu.
Ndio huyo dogo.itakua ndio huyu mwanae kacheza worldcup 2022-Qatar .
mwanae anaitwa akram afif, walisema origin yake bongo.
Hahaaaaa, 2010's ni mbali mkuu?2,6,9,11 dah kitambo
nmemkumbuka bahanuzi kwenye kagame cup
salum kabunda, ni baba mzazi wa sallum kabunda wa kmc?Wapi Godian Mapango, Hamis Kinye, Salum Kabunda, Aswile,
sana yaaniHahaaaaa, 2010's ni mbali mkuu?
Imenifikirisha Sana Sana!,Tena ukiwa darasa la pili.Unaona wivu kisa nimemsifia ni handsome!
kimtindo miaka 14 mpaka ni mingi sana coz bahanuz alitamba sana kwenye 2009-2010.Hahaaaaa, 2010's ni mbali mkuu?
chief kasema alikua hb ,nasio kwamba alivutiwa nae kingono.Imenifikirisha Sana Sana!,Tena ukiwa darasa la pili.
View attachment 2815808
felix hajawahi kuwa tishio hapa bongo kifupi alipolola,alitamba huko kwao congoDaaaah hujamataja mwinyi kazimoto, felix sunzu, amir maftah, umewasusa wote,