Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

sijawahi mshuhudia . mi nimemkuta juma kaseja na ivo mapunda
Duuh Nemess Kacheza Simba pamoja na Mohamed Mwameja, Alfonce Modest, Mustapha Hoza, George Masatu, Hussein Marsha, Athumani China, Bita John, Edward Chumila , Dua Said na Nico Bambaga miaka ya 90 Kabla ya kuhamia yanga.
Hao Kina Kaseja, Peter Manyika na Ivo Mapunda ni wajuzi juzi tu.
 
Hamis Thobias Gaga,ibrahimu mbuzi,sanifu Lazaro,Duncan mwamba,innocent Haule,ali maliva,Hussein Masha,Abdallah Bori,Beya Simba,Justine mtekele,Andrew Godwin,Godwin Aswile,James washokela,Itutu kigi,John makelele,ikupilika nkoba,Paulo Rwechungura, masatu magesa,
Dancun Butinini na Saidi Mwamba mbona mwenzangu wa Gongoni RIP.
 
1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa

Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
Ali mayay
Amir maftah

Shaban Nditi​

 
Kikosi cha Pamba kilichokuwa kinatisha kabla ya kubomolewa na Simba na Yanga

1. Madata Lubigisa
2. Abdalah Bori
3. Alphonce Modest
4. David Rogers
5. George Masatu
6. Hussein Marsha
7. Mao Mkami
8. Nico Bambaga
9. Kitwana Suleiman
10. Fumo Felician
11. Nteze John
 
Kikosi cha Pamba kilichokuwa kinatisha kabla ya kubomolewa na Simba na Yanga

1. Madata Lubigisa
2. Abdalah Bori
3. Alphonce Modest
4. David Rogers
5. George Masatu
6. Hussein Marsha
7. Mao Mkami
8. Nico Bambaga
9. Kitwana Suleiman
10. Fumo Felician
11. Nteze John
Huyo hussein marsha nasikia alikua balaa . hiki kikosi kilitrend miaka ipi?
 
Kikosi cha Coastal Union kilichochukua ubingwa wa ligi (sikumbuki mwaka)

1. Mohamed Mwameja
2. Said Kolongo
3. Joseph Lazaro
4. Douglas Muhani
5. Yasin Napili
6. Ally Maumba
7. Elisha John
8. Kasa Mussa
9. Hussein Mwakuruzo
10. Juma Mgunda
11. Razak Yusuph "Careca"
 
Back
Top Bottom