1. Humphrey Polepole.
Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge.
2. Geoffrey Mwambe.
Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge.
3. Daniel Chonchoriro.
Mjumbe wa mkutano mkuu CCM.
4. Sinda Mseti .
Mgombea udiwani kupitia CCM huko Sirari.
5. Gwajima . Alikuwa mbunge (CCM) Jimbo la Kawe. Lkn sasa anaishi kama digidigi.
Sasa wewe mwenzangu na mm ambaye ni mbunge/diwani au ni mvaa t-shirt na kofia za ccm kinachokufanya ukae kimya ni nini? Kwamba unaijua sana CCM, au unamjua sana Samia kuliko Polepole, Mwambe na Gwajima?
Sote ni wajibu wetu kupambana na nyoka aliyeingia ndani ya nyumba. Uovu hauna kwao. Siku usioidhania utashangaa nyoka huyu anakugonga wewe..
NIMEMALIZA, msinichoshe.