Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

Hawa ndiyo wanaume halisi nje ya hapa ni mvulana

Sifa kuu ya Wanaume ni Kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga
Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbali mbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa.

Lakini hawajuani majina halisi.

Utasikia wakiitana, Bro, Mzee baba, Mwamba, we mwana YANGA, John Bocco, Bosi, Tolu, Kipara, we kolo. na majina mengine ya hovyo hovyo.

So smart, hakuna kufuatiliana maisha.

Sasa Kutana na wanawake wakiwa pamoja, weeeee 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Lady in red!
 
LUPASO, pamoja na mapungufu yake nilimwiga kitu kimoja tu

Simu yake ilikuwa na majina 6 tu..mama ana ,rafiki zake mabalozi wawili ,kaka yake ,watoto wake wawili ,basi
Habari
Yamtu mnakutana bar hapana

Nina laini yangu maarifu huwashwa siku za wikiendi
 
Ina maana hata ya Chato alikuwa hana duh
 
Kawaida hiyo kuna jamaa tumebadilishana namba kama miezi mitatu imepita ye hajui jina langu na mimi sijui jina lake nimemsave "mwamba" mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzako unaitwa nani? Huo ni umama jina huwa tunalijua baada ya kuskia akiwa anaitwa na watu wengine hapo ndo tunaanza kujuana majina

Mi mwanaume mwenzangu hata ukinitumia meseji ukaniandikia "usiku mwema" nakublock
😅
 
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga

Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa.

Lakini hawajuani majina halisi.

Utasikia wakiitana, Bro, Mzee baba, Mwamba, we mwana YANGA, John Bocco, Bosi, Tolu, Kipara, we kolo. na majina mengine ya hovyo hovyo.

So smart, hakuna kufuatiliana maisha.

Sasa Kutana na wanawake wakiwa pamoja, weeeee 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Hii ni stereotype tu, kuna wanaume wengine hawataki matani na hili haliwaondolei uanaume wao.
 
Lazima apitie kwa msaidizi, yule ilikuwa kazi na k-vant

Hata zile Dola alizolalamika vijana wakimarekani 2boys na mhanzina wa chama tasrom

Walimtaimu akiwa soba ....wangemkuta ameshakiwasha wangefurushwa
Kama ni kweli basi sio mfano wa kuigwa.
 
Na hii ndiomaana halisj ya "Mwanaume"
Wanaume hatununiani, tukilianziasha tunamalizana hapohapo then tunacheka na kugonga cheers🥂
 
Back
Top Bottom