kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
KwakoKama ni kweli basi sio mfano wa kuigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakoKama ni kweli basi sio mfano wa kuigwa.
Kwa Kila mtu....kulewa mpaka kupotoshwa na mabilioni ya Umma kupigwa, hakuna cha kuiga hapoKwako
Lucha, Ulishawahi kujibu? kulitokea nini?Mi mwanaume mwenzangu hata ukinitumia meseji ukaniandikia "usiku mwema" nakublock
😂😂 sema ina sound hovyo kinomaKawaida hiyo kuna jamaa tumebadilishana namba kama miezi mitatu imepita ye hajui jina langu na mimi sijui jina lake nimemsave "mwamba" mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzako unaitwa nani? Huo ni umama jina huwa tunalijua baada ya kuskia akiwa anaitwa na watu wengine hapo ndo tunaanza kujuana majina
Mi mwanaume mwenzangu hata ukinitumia meseji ukaniandikia "usiku mwema" nakublock
Acha uongo we kafiri😀😀😀Kawaida hiyo kuna jamaa tumebadilishana namba kama miezi mitatu imepita ye hajui jina langu na mimi sijui jina lake nimemsave "mwamba" mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzako unaitwa nani? Huo ni umama jina huwa tunalijua baada ya kuskia akiwa anaitwa na watu wengine hapo ndo tunaanza kujuana majina
Mi mwanaume mwenzangu hata ukinitumia meseji ukaniandikia "usiku mwema" nakublock
Kuwa makini kutukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaakoAcha uongo we kafiri😀😀😀
😂Kawaida hiyo kuna jamaa tumebadilishana namba kama miezi mitatu imepita ye hajui jina langu na mimi sijui jina lake nimemsave "mwamba" mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzako unaitwa nani? Huo ni umama jina huwa tunalijua baada ya kuskia akiwa anaitwa na watu wengine hapo ndo tunaanza kujuana majina
Mi mwanaume mwenzangu hata ukinitumia meseji ukaniandikia "usiku mwema" nakublock
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga
Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa.
Lakini hawajuani majina halisi.
Utasikia wakiitana, Bro, Mzee baba, Mwamba, we mwana YANGA, John Bocco, Bosi, Tolu, Kipara, we kolo. na majina mengine ya hovyo hovyo.
So smart, hakuna kufuatiliana maisha.
Sasa Kutana na wanawake wakiwa pamoja, weeeee 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
mwamba" mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzako unaitwa nani? Huo ni umama jina huwa tunalijua baada ya kuskia akiwa anaitwa na watu wengine hapo ndo tunaanza kujuana majina
Hizi sifa za wanaume za kujadili kubeti acha nisiwe nazo asee
naungana na wewe mr kisaiHuu ni utoto unaandika, na hizi ni tabia za wahuni, tofautisha kati ya uhuni na uanaume.
Wanaume wanapokutana na wenzao kama hawajuani, baada ya salamu lazima waulizane majina, tena majina halisi.
Unamsave vipi mwanaume mwenzako "Mwamba" ? Sifa zote za ushupavu na ukakamavu zinatakiwa zerejee kwako mwenyewe.
Sisi Wanaume sasa tukikutana, lazima tuulizane majina halisi au lakabu zetu au kuniya zetu, kisha tunachagua tuitane kwa lakabu au ?
Sasa mtofautishe uanaume na uhuni vijana.
Vijana wanaona uhuni ndio uanaume, wakati uhuni muda wote una sifa mbaya na kufanya mambo chini ya kiwango.naungana na wewe mr kisai
ina make sense mwanaume kumjua jina mwanaume mwenzako maana
uwezi kuwa na mazunguzo serious halafu umekaa na mtu umuanze kwa kumwambia mwamba
haimake sense
factVijana wanaona uhuni ndio uanaume, wakati uhuni muda wote una sifa mbaya na kufanya mambo chini ya kiwango.