Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

[emoji23] [emoji23] mkuu dingi yako mjanja sanaaa,, mkuu kwenu hakuna madada nije
Huwa namkubali sana dingi anasema hadi ukoo wa Rupaebalila wabaniani hawa aliwatimbia anataka kuchanganya damu. Kwenye hatua za mwisho kabisa wakatokea mbavuni...Ahahaha!

Nina bahati mbaya home Mimi ndio only boy waliobaki kama sita wote girls...Mimi nlikuwaga nawaona kama mbuzi but masela wakija home wananiambia mwanangu Sista ako yule tall ni mkali sana ...nawaona kama wananipigia kelele tu maana Mimi nawaona kama ng'ombe tu. Sijui kwanini hii inatokeaga hii?

Nilipokuwaga na miaka around 8 hadi 12 ukiniambia unaempenda Dada angu nakumind yaani nilikuwa naimagine kama ndo ushapumua nae tayari Kwenye ubed. Nilipokua nikagundua I was such a fool.

Occasionally, nimekula hela za madomo zege sana nilipojielewa.

Ila ni stress sana kukua na madada wakali same home.
 
Wozeeeewwwwwwwwwrrrrer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…