Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

[emoji23] [emoji23] mkuu dingi yako mjanja sanaaa,, mkuu kwenu hakuna madada nije
Huwa namkubali sana dingi anasema hadi ukoo wa Rupaebalila wabaniani hawa aliwatimbia anataka kuchanganya damu. Kwenye hatua za mwisho kabisa wakatokea mbavuni...Ahahaha!

Nina bahati mbaya home Mimi ndio only boy waliobaki kama sita wote girls...Mimi nlikuwaga nawaona kama mbuzi but masela wakija home wananiambia mwanangu Sista ako yule tall ni mkali sana ...nawaona kama wananipigia kelele tu maana Mimi nawaona kama ng'ombe tu. Sijui kwanini hii inatokeaga hii?

Nilipokuwaga na miaka around 8 hadi 12 ukiniambia unaempenda Dada angu nakumind yaani nilikuwa naimagine kama ndo ushapumua nae tayari Kwenye ubed. Nilipokua nikagundua I was such a fool.

Occasionally, nimekula hela za madomo zege sana nilipojielewa.

Ila ni stress sana kukua na madada wakali same home.
 
Yaani hiyo picha ya huyo jamaa aliewekwa na demiss ni Mimi kila kitu...nimesema kuanzia skin colour.. Huyu jamaa ni light skinned na Mimi ni light skinned, body size ya huyo jamaa ndio body yangu hivyo hivyo, facial structure ya huyo jamaa ndio Mimi kabisa.

Umeomba picha nimeona nipige mironjo kwanza uone kama kuna correlation ya hayo niloyoyasema hapo juu. Mke wa mganga ametisha sana yaani hiyo picha aliyoweka ndio Mimi kabisa.

Mke wa mjumbe ni mjumbe pia na...mke wa mganga nae ni mganga pia.View attachment 803843
Wozeeeewwwwwwwwwrrrrer
 
Back
Top Bottom