Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umewawekea picha za watoto wa kiume wakati wao wanaume?Yerewiiiìi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbona katika hao uliowataja mmoja namjua na hana uhandsome wowote ana sura ngumu sura ya kazi sura ya kiume
Nmecheka kabisa maana naona najibaniaOngeza tabasamu lingine
Daah,hayaa bhanaa!Lazima aseme kwa sababu ni bebebe wakoooo
Duuh[emoji23]Sasa mbona katika hao uliowataja mmoja namjua na hana uhandsome wowote ana sura ngumu sura ya kazi sura ya kiume
mkuu kwa dada hapana,, ngoja mda usogesogee kwanza, tia maji tia maji hahajajajNdicho alichofanya mengi hata Kwa kuchelewa lakini kavuta miss Tanzania ndani...mtoto mkaaaali! Sasa hivi mzee wa watu anabinuka na yule mtoto mzuri kinyantuzu tena chumbani...! Wale hoehae wanamtia kwenye viganja vyao tu. [emoji23]
Kavurumusha mapacha ma HB..hana lawama tena kwa madogo, kawapa Uhb kirahisi sana.
Kwa Dada zangu una hela mkuu? Au ndio tia maji tia maji?
Nimekumith sana jilan yangu saana tuuuNipo jilani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuh[emoji23]
Sasa unabisha mamii??Kwahiyo hizo picha ndio wao eenh hao mahandsome
Hahahahahaaha hongeraaamkuu na mimi nina huo mpango wa kusaka kamrembo matata ili nichanganye rangi, nasaka mahela kwanza si unajua tena watoto kama dada zako ,
japo ni hatari lakini ni faida kwa wanangu, watajua wakiwa wa kubwa kwa baba yao nlioa mtoto mzuri,,
hakuna kuogopa et oooh utachapiwa,, wacha wachape tuu, mi nazarisha tuuuuu[emoji23]
Hahaha nani huyo...hahahaHe he nimecheka mm eti na yy handsome
Super handsome,. Dimpoz kwa pozzHe he nimecheka mm eti na yy handsome
[emoji23] [emoji23] shunie katukataa wazi waziDuuh[emoji23]
Ana yake tuu...shem darling ulivyo msupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] shunie katukataa wazi wazi
Niwekee link bhana! Nizame kirahisi sasa kuusakua tena si kazi mzee baba?pitia uzi wangu mkuu sijui kuweka link .. unahsu jins ya kuondoa msongo karb mchang wko muhm