Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

Acha kutukana vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Unataka kusema Tanzania hamna Makomandoo?. Kama unavaaa pampas usifikiri kila mtu anavaa pampas. Punguza kujiona wa maana wakati na wewe ni udongo kesho tu tutakuzika.

Wewe upo CCM lakini unasumbuliwa na uenyekiti wa Mbowe chadema. Concentrate na Mambo ya CCM ya chadema hayakuhusu.
 
Sorry modern day sf personel wana mafunzo both urban warfare na msituni.
Na hawa jamaa wana mitihani yao kabisa.. ukifel you are out.

VIP protection ni kozi separate kabisa Ila si kwamba hawajui chochote.

Unless umehudhuri hayo mafunzo then you can judge. Ila kama hujafika huko better usiongee maana hujui wanachofundishwa huko ni nn.
 
Mafunzo ya ukomandoo Tanzania nayajua in and out mama angu. Nimeandika kitu nachokijua mtoto mzuri.
Ehe kijana. Mwalimu wa mafunzo ya ukomandoo. Umehudhuria kozi ngapi? Cheo kikubwa kabisa kwenye hiyo unit ni kipi?
Mtaala wao ukoje? First phase inafanyika wapi? Initial passing standards zikoje?

Kwako mwalimu
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Jichanganye, kwahiyo china hawatakiwi kuwa na makomando sababu wanamiili midogo?
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Ukomandoo ni training za medani za kivita,sio kubeba mawe,au kuzibua mitaro ya maji machafu,au kuendesha guta,hao jamaa wameshiriki mapigsno,combat,special operation mission,we ingia kichwa kichwa utajikuta,makende huna
 
Hawa ndo Kaka yako Mwendakulima alitaka wapotee kabisa?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Komenti yako ina maana,hata mimi naamini ni usanii tu.
 
Ulitaka wawe na afya gani? Wakati wamekaa gerezani zaidi ya mwaka mmoja na nusu na chakula walikuwa hawapewi ipasavyo

Kweli wewe ni zee lipumbavu
 
Ukomandoo ni training za medani za kivita,sio kubeba mawe,au kuzibua mitaro ya maji machafu,au kuendesha guta,hao jamaa wameshiriki mapigsno,combat,special operation mission,we ingia kichwa kichwa utajikuta,makende huna
Sasa kwa nini wale makomandoo huwa wanavunja tofali pale uwanja wa taifa?
 
Ila jamaa wanahitaji chakula

Ndio maana huko huwa wanapewa fedha za aina hiyo (ration).
 
I mean, WTF!!!

Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.

Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?

Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.

Not impressed at all!

Acha Wivu wa Kike
 
Huyu jamaa anaongelea makomando wa kwenye movie za kimarekani akina RAMBO NA ANOLD,komando ni special force wala siyo big body,nyama zpo mpak kwenye sambusa pia komando mwili wake ni silaha...
Umeshaanza nongwa zako!!

Uzito ni ukomandoo wa kizamani.

Ukomandoo wa kileo uko ndani ya kichwa zaidi.

Ndio maana pale kwa Pontio pilato akina Swilla walipewa za uso.
 
Kuna watu wakiwa nyuma ya keyboard ni watu wanajua Kila kitu .. wakati mwingine ni kuwaacha tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…