Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Mzee Mohamed Said njoo huku Kuna mtu anataja wapigania Uhuru katika list yake hakuna hata majina ya kiislamu
Mjerumani kasaini mikataba ya amani na mtemi Kahigi au hulijui hili(soma historia kidato cha tatu wanafundisha).Kipindi hicho nadhani mababu zenu ata hizi a,e,i,o,u walikuwa wanaona mazingaombweEnzi hizo akinangosha walikuwa busy na kuvua dagaa tuu pamoja na ndugu zao akina ishomile.
Mzee said Mohamed njoo huku Kuna mtu anataja wapigania Uhuru katika list yake hakuna hata majina ya kiislamu
iyo formal education walimu walikua wa kina nani wakati mkolon na mtanganyika walikua paka na panya .Mjerumani kasaini mikata ya amani na mtemi Kahigi au hulijui hili(soma historia kidato cha tatu wanafundisha).Kipindi hicho nadhani mababu zenu ata hizi a,e,i,o,u walikuwa wanaona mazingaombwe
Mjerumani kakuta tayari wahaya wana practise formal education(uliza Rubya seminary ni ya lini?(utapewa jibu la 1905 lakini ilikuepo kabla hata mkutano wa Berlin kufanyika))
Wahaya wamekuwa civilised kabla hata hao wakoloni kufika.Hizo translation za text za bible kwenda lugha ya kihaya unadhani alifanya mkoloni? Organisation ya holy mass katika mtindo wa kihaya alifanya mkoloni sio?(Hii pekee inakutosha kuona earliest civilisation in buhaya kingdom before intruders)iyo formal education walimu walikua wa kina nani wakati mkolon na mtanganyika walikua paka na panya .
kama kuna bible ya kihaya kwa miaka ya mjerumani basi mlitakata mapemaWahaya wamekuwa civilised kabla hata hao wakoloni kufika.Hizo translation za text za bible kwenda lugha ya kihaya unadhani alifanya mkoloni? Organisation ya holy mass katika mtindo wa kihaya alifanya mkoloni sio?(Hii pekee inakutosha kuona earliest civilisation in buhaya kingdom before intruders)
We managed to trade with people of Buganda kingdom(do you know how far it is?just interregion trade).Traveling long distance by that time with advanced means of transportation to exchange advanced technologies and commodities.We were civilised am telling you brother
mkawa alizingua alivyojinyonga ni kama alifanya nusu kusarenda ila sio kusarenda kamiliMkwawa akae hapo namba 1
Wana reduce psychological torture wajerumani walifanya zaidinya unyamaKwa nini hakuna sehemu yoyote maaruf Tanzania yenye majina ya hawa Mashujaa?
Ila pamoja na hayo yule mwamba aliwatesa na kuwataabisha wajerumani, ukienda pale kalenga ukipata historia yake vizuri hakika alikuwa shujaa hata kama alijiuamkawa alizingua alivyojinyonga ni kama alifanya nusu kusarenda ila sio kusarenda kamili
1. Mangi Meli wa Wachaga (Aliuawa mwaka 1900)
Kiongozi wa Wachaga wa Kilimanjaro aliyepinga ukoloni wa Wajerumani.
Alikamatwa na Wajerumani, akahukumiwa na kunyongwa hadharani Moshi
Hadithi zake zimeendelea kuenziwa kama shujaa wa mapambano dhidi ya ukoloni.
2. Kinjeketile Ngwale (Aliuawa mwaka 1905)
Kiongozi wa kiroho na kijeshi wa Vita ya Maji Maji (1905-1907). Aliwahamasisha watu kwa imani ya maji ya uchawi ("maji maji") ambayo ilisemekana ingeweza kuzuia risasi za Wajerumani. Alikamatwa na kunyongwa na Wajerumani mwaka 1905.
3. Chief Songea Mbano (Aliuawa mwaka 1906)
Kiongozi wa kabila la Wangoni aliyeshiriki katika Vita ya Maji Maji.
Alikamatwa na Wajerumani, akateswa na hatimaye kunyongwa hadharani pamoja na viongozi wengine wa Wangoni.
Baada ya kuuawa, jina lake likawa sehemu ya mji wa Songea
4. Mkwawa wa Wahehe (Aliuawa mwaka 1898)
Chifu wa Wahehe aliyepambana na Wajerumani kwa miaka mingi, akiwashinda katika Vita ya Lugalo (1891). Baada ya mashambulizi makali ya Wajerumani, alikataa kukamatwa na akajitoa uhai mwaka 1898.
Kichwa chake kilikatwa na kupelekwa Ujerumani, lakini baadaye kilirejeshwa Tanzania mwaka 1954.
Viongozi hawa walikuwa sehemu ya harakati kubwa ya upinzani dhidi ya utawala wa Wajerumani, na wengi wao waliuawa kwa njia ya ukatili kama kunyongwa, kupigwa risasi, au mateso makali.
Kanda pendwa walikua wapi enzi hizo wanaume wa shoka wapo mzigoni
unaambiwa spirit ya kujinyonga wahehe walirithi utoka kwa bingwa mkawa,,😂😂Ila pamoja na hayo yule mwamba aliwatesa na kuwataabisha wajerumani, ukienda pale kalenga ukipata historia yake vizuri hakika alikuwa shujaa hata kama alijiua
... miaka hiyo haikuwepo tanganyika....kila kanda ilikuwa like nchi huru...Hao wote uliowataja walipigana kulinda himaya zao na si tanganyika
Pamoja na kupenda kujinyonga pia wahehe ni watu wenye hasira Kali Sanaunaambiwa spirit ya kujinyonga wahehe walirithi utoka kwa bingwa mkawa,,😂😂
Ndio lakini weka vizuri matukio ya kihistoria sawa.... miaka hiyo haikuwepo tanganyika....kila kanda ilikuwa like nchi huru...
Beira,Mzee Mohamed Said njoo huku Kuna mtu anataja wapigania Uhuru katika list yake hakuna hata majina ya kiislamu
SUREHao wote uliowataja walipigana kulinda himaya zao na si tanganyika
Berlin conference from 1884-85 .... Sawa nakubali so from mkutano huu nani alikuwaa head of GERMAN EAST AFRICA...tuazie hapa kwanza.... Ndooo mana nasema kila ka region kalikuwa kanajipambania... Ndoo mana hata mkwawa alisalitiwa na wanyamwez na waluguru..na wangoni etc.... ukifka kalenga,, LILINGA ilikuwa ina full AUTONOMY including kudai tax kwa wazungu toka hukoooo mwenemtapa (nowadays Zimbabwe) zaire ...etc na ndo chanzo kikuu cha HEHE GERMAN WAR..Ndio lakini weka vizuri matukio ya kihistoria sawa.
Baada ya mkutano wa Berlin,Wajerumani walichukua hizo himaya zote unazotaka kusema hapa na kuwa kitu kimoja chini yao.
Wengi wanaotajwa hapa machief wali-wage either primary resistance(kipindi mjerumani anaingia mjengoni) or secondary resistance(baada ya mjerumani kutwaa mjengo)
Jina Tanganyika halikuwa likitumika wakati huo(kama sijasahau ilikuwa inaitwa German east colony(ask google man kumbukumbu zangu kwenye jina linapotea,hii ilijumuisha modern Rwanda,Burundi and Tanganyika until 1918))