Manyahe
JF-Expert Member
- Mar 17, 2023
- 628
- 1,059
Ndo niko nawaza hapaHivi kujinyonga nako ni ushujaa au mimi ndo sielewagi
Ndo niko nawaza hapaHivi kujinyonga nako ni ushujaa au mimi ndo sielewagi
kamaKule tabora unyamwezini hakuna chief aliefurukuta kweli?
Harafu historia ya kigoma ikoje waha walikua hawapo au? Maaana siwasomagi kabisa kwenye history
kitaalamu tunaita nusu ku surrender na sio ku surrender kamiliNdo niko nawaza hapa
Jamani wahehe watuache tupumzike kidogoNdo niko nawaza hapa
Hii German east colony baada ya Berlin conference ilikuwa chini ya wajerumani wenyewe.Mfumo wao wa kiutawala mtu mweusi alihusika kidogo tena ngazi za chini(vibaraka) na uliitwa DIRECT RULE(inaelezwa kwenye historia vizuri jinsi ilivyofanya kazi)Berlin conference from 1884-85 .... Sawa nakubali so from mkutano huu nani alikuwaa head of GERMAN EAST AFRICA...tuazie hapa kwanza.... Ndooo mana nasema kila ka region kalikuwa kanajipambania... Ndoo mana hata mkwawa alisalitiwa na wanyamwez na waluguru..na wangoni etc.... ukifka kalenga,, LILINGA ilikuwa ina full AUTONOMY including kudai tax kwa wazungu toka hukoooo mwenemtapa (nowadays Zimbabwe) zaire ...etc na ndo chanzo kikuu cha HEHE GERMAN WAR..
Mmechoka sana?Jamani wahehe watuache tupumzike kidogo
Mme...SURE
cjapnga mkuu, nakubari hyo hoja kila chief enz zile was fight for their empire, against colonialists.Mme...
Kwani kuna ubaya kupigana kulinda himaya yako.
Hili la kwanza.
Pili Tanganyika kama taifa moja ilikuwa bado.
Lakini Tanganyika ilipokujakuwa taifa nchi ilisimama pamoja kukabiliana na ukoloni.
Msikilize Rais Samia alipomuadhisha Abushiri bin Salim Al Harth:
View: https://youtu.be/WEs5UGpit5w?si=yuTHItFB6_Z5sLzH
Asante sana mzee wetuBeira,
Wapo Waislam labda kama mtu hajui historia zao.
Yupo Kinjiketile Ngwale, Abdulrauf Songea Mbano, Mtwa Abdallah Mkwawa.
Walisahauliwa ni Khadija Mkomanile, Abushiri bin Salim Al Harith, Omar Kinyalanyala na Hassan Omar Makunganya.
Makamanda Waislam walionyongwa na Wajerumani waliletewa Padri Yohannes Hafliger kutoka Peramiho aje kuwabatiza na walipozikwa majina yao ya Kiislam yakafutwa yakaandikwa yale majina waliyopewa na Hafliger.
Hii historia ni ndefu inataka wasaa kuieleza yote kwa ukamilifu lakini tosheka na hayo niliyoeleza hapo juu.
Nyongeza:
Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi.
Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao.
Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa.
Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba.
Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita Vya Maji Maji.
Hapo kuna duka la vitabu basi akaninunulia kizigo cha vitabu kaniletea.
Kitabu kilichogusa moyo wangu ni hicho nilichoshika kitabu cha Nduna Abdulrauf Songea Mbano kiongozi wa Wangoni.
Wanahistoria hupenda kumwita Songea Mbano wakaliacha jina la Abdulrauf.
Mimi hupenda kumwita kwa majina yake kamili: Nduna Abdulrauf Songea Mbano.
Alinyongwa na Wajerumani na kukata kichwa chake wakakipeleka Ujerumani.
View attachment 3283257
Huko usukumani walikuwa na Ng'wanamalundi aliwasumbua sana Wajerumani mpaka walinyoosha mikono.
apo mwanza mjerumani alitia kambi ngosha wote wakatulia kama maji kwenye mtungi
hawana dna au blood ya vita
sema wanabebwa na system kurundikwa jwtz
Samia na jwtz na ccm wameturudisha kuwa koloni la genge la Raia feki wakina rostam azizi na,wahuni wenzie1. Mangi Meli wa Wachaga (Aliuawa mwaka 1900)
Kiongozi wa Wachaga wa Kilimanjaro aliyepinga ukoloni wa Wajerumani.
Alikamatwa na Wajerumani, akahukumiwa na kunyongwa hadharani Moshi
Hadithi zake zimeendelea kuenziwa kama shujaa wa mapambano dhidi ya ukoloni.
2. Kinjeketile Ngwale (Aliuawa mwaka 1905)
Kiongozi wa kiroho na kijeshi wa Vita ya Maji Maji (1905-1907). Aliwahamasisha watu kwa imani ya maji ya uchawi ("maji maji") ambayo ilisemekana ingeweza kuzuia risasi za Wajerumani. Alikamatwa na kunyongwa na Wajerumani mwaka 1905.
3. Chief Songea Mbano (Aliuawa mwaka 1906)
Kiongozi wa kabila la Wangoni aliyeshiriki katika Vita ya Maji Maji.
Alikamatwa na Wajerumani, akateswa na hatimaye kunyongwa hadharani pamoja na viongozi wengine wa Wangoni.
Baada ya kuuawa, jina lake likawa sehemu ya mji wa Songea
4. Mkwawa wa Wahehe (Aliuawa mwaka 1898)
Chifu wa Wahehe aliyepambana na Wajerumani kwa miaka mingi, akiwashinda katika Vita ya Lugalo (1891). Baada ya mashambulizi makali ya Wajerumani, alikataa kukamatwa na akajitoa uhai mwaka 1898.
Kichwa chake kilikatwa na kupelekwa Ujerumani, lakini baadaye kilirejeshwa Tanzania mwaka 1954.
Viongozi hawa walikuwa sehemu ya harakati kubwa ya upinzani dhidi ya utawala wa Wajerumani, na wengi wao waliuawa kwa njia ya ukatili kama kunyongwa, kupigwa risasi, au mateso makali.
Kanda pendwa walikua wapi enzi hizo wanaume wa shoka wapo mzigoni
sema apo unafeliSamia na jwtz na ccm wameturudisha kuwa koloni la genge la Raia feki wakina rostam azizi na,wahuni wenzie
Tumia akili wewe uijui dunia ipo wapi na inakwenda wapi ..bara la africa litafanyiwa sana STATE CUPTURE na magenge ya kialifu ya dunia kutokana na mifumo mibovu na katiba mbovu ...usishangae mbantu akikutwa na kilo moja ya nyama ya swala ana hukumia miaka 30 jela ila muarabu au mzungu muindi wana adhibia faini ya laki2 kwa kuua swala 1000sema apo unafeli
mzungu gani huyo anaewinda swala na wapTumia akili wewe uijui dunia ipo wapi na inakwenda wapi ..bara la africa litafanyiwa sana STATE CUPTURE na magenge ya kialifu ya dunia kutokana na mifumo mibovu na katiba mbovu ...usishangae mbantu akikutwa na kilo moja ya nyama ya swala ana hukumia miaka 30 jela ila muarabu au mzungu muindi wana adhibia faini ya laki2 kwa kuua swala 1000
Tumia akili swala ni sampo tu nimetumia wewe bogazimzungu gani huyo anaewinda swala na wap
Vita vyenu vilikuwa vya kirohoMwanza na vita wapi na wapi sisi huku ni ndoho tabu hatuna noma kabisa
Seth...Wahaya wamekuwa civilised kabla hata hao wakoloni kufika.Hizo translation za text za bible kwenda lugha ya kihaya unadhani alifanya mkoloni? Organisation ya holy mass katika mtindo wa kihaya alifanya mkoloni sio?(Hii pekee inakutosha kuona earliest civilisation in buhaya kingdom before intruders)
We managed to trade with people of Buganda kingdom(do you know how far it is?just interregion trade).Traveling long distance by that time with advanced means of transportation to exchange advanced technologies and commodities.We were civilised am telling you brother
Nimekupata kakaSeth...
Nakuongezea na haya ambayo yamo katika kitabu cha Abdul Sykes:
Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu.
Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848 alimkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma.
Herufi walizokuwa wakitumia zilikuwa za Kiarabu.
Wajerumani kwa ajili hii basi waliwaajiri Waislam kama walimu, wakalimani na makarani serikalini. Wamisionari na wakoloni waliona wivu kwa maendeleo haya waliyoyakuta kwa Waislam.
Kubwa zaidi ni kuwa walikuwa wamekuja kustaarabisha watu ëwashenzi' badala yake wamewakuta watu walistaarabika na wanye utamaduni wa kupendeza. Elimu hii yote na utamaduni huu wa hali ya juu ulikuwa unatokana na Uislam na shule zake - madras.
Hapo ndipo zilipoaanza mbinu ya kuvunja maendeleo haya yote.
Herufi za Kiarabu zikapigwa marufuku kutumika na badala yake watu wakalazimishwa kujifunza herufi za Kirumi.
Muislam ambae jana alipoingia kulala alikuwa anaitwa ameelimika akaamka asubuhi yake mjinga, hana elimu, hajui kusoma wala kuandika.
Njama hizi zote dhidi ya Uislam ilikuwa sehemu ya makubaliano kama ilivyoandikwa katika kifungu IV cha Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884.