Hawa ndo mashujaa waliouawa kwa kupinga ukoloni na kujitoa muhanga kuilinda ardhi ya Tanganyika

1. Mangi Meli wa Wachaga (Aliuawa mwaka 1900)

Kiongozi wa Wachaga wa Kilimanjaro aliyepinga ukoloni wa Wajerumani.

Alikamatwa na Wajerumani, akahukumiwa na kunyongwa hadharani Moshi

Hadithi zake zimeendelea kuenziwa kama shujaa wa mapambano dhidi ya ukoloni.

2. Kinjeketile Ngwale (Aliuawa mwaka 1905)

Kiongozi wa kiroho na kijeshi wa Vita ya Maji Maji (1905-1907). Aliwahamasisha watu kwa imani ya maji ya uchawi ("maji maji") ambayo ilisemekana ingeweza kuzuia risasi za Wajerumani. Alikamatwa na kunyongwa na Wajerumani mwaka 1905.

3. Chief Songea Mbano (Aliuawa mwaka 1906)
Kiongozi wa kabila la Wangoni aliyeshiriki katika Vita ya Maji Maji.
Alikamatwa na Wajerumani, akateswa na hatimaye kunyongwa hadharani pamoja na viongozi wengine wa Wangoni.
Baada ya kuuawa, jina lake likawa sehemu ya mji wa Songea

4. Mkwawa wa Wahehe (Aliuawa mwaka 1898)
Chifu wa Wahehe aliyepambana na Wajerumani kwa miaka mingi, akiwashinda katika Vita ya Lugalo (1891). Baada ya mashambulizi makali ya Wajerumani, alikataa kukamatwa na akajitoa uhai mwaka 1898.

Kichwa chake kilikatwa na kupelekwa Ujerumani, lakini baadaye kilirejeshwa Tanzania mwaka 1954.

Viongozi hawa walikuwa sehemu ya harakati kubwa ya upinzani dhidi ya utawala wa Wajerumani, na wengi wao waliuawa kwa njia ya ukatili kama kunyongwa, kupigwa risasi, au mateso makali.

Kanda pendwa walikua wapi enzi hizo wanaume wa shoka wapo mzigonikwa
Mkwawa inasemekana alijipiga risasi baada ya kuona anakamatwa akiwa hai
 
Ndio lakini weka vizuri matukio ya kihistoria sawa.

Baada ya mkutano wa Berlin,Wajerumani walichukua hizo himaya zote unazotaka kusema hapa na kuwa kitu kimoja chini yao.

Wengi wanaotajwa hapa machief wali-wage either primary resistance(kipindi mjerumani anaingia mjengoni) or secondary resistance(baada ya mjerumani kutwaa mjengo)

Jina Tanganyika halikuwa likitumika wakati huo(kama sijasahau ilikuwa inaitwa German east colony(ask google man kumbukumbu zangu kwenye jina linapotea,hii ilijumuisha modern Rwanda,Burundi and Tanganyika until 1918))
In any case hao wahenga wote, hakuna ambaye alikuwa anapigania taifa lolote mbali na himaya yake binafsi. Sisi tunawapa tu ushujaa kwa vile walikuwepo kwenye maeneo ambayo yaligeuka kuwa nchi yetu, na pia kwa vile walijaribu kumtandika mzungu.
 
not really
 
Nanren,
Wangekipigania vipi kitu ambacho hakikuwepo?

Soma historia ya Abushiri bin Salim kuanzia Zanzibar hadi Pangani.
 
Abushiri wa just a slave trader.
Hata kama kulikuwa na himaya ya sultan, je ilikuwa nchi kama nchi zinavyojulikana sasa?
Akina mirambo walipigania nchi iliyoitwaje?
Mkwawa alikuwa anapigania nchi yenye jina gani?
Ndio maana tunasema hawakuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika. Tunawaenzi tu kama mashujaa wetu kwa vile by coincidence, we are now in the same country.
 
Abushiri hakufanya biashara ya utumwa.
Soma historia yake.

View: https://youtu.be/RqsCEEQD3sk
 
Mzee Mohamed Said njoo huku Kuna mtu anataja wapigania Uhuru katika list yake hakuna hata majina ya kiislamu
Wew hujuw k2, hao karbia wote waliotajwa hapo ni walikuwa waislamu.

Majina yao halisi haya hapa.
1. Kinjeketile jina halisi SELEMAN MAMBA
2. Chief songea- ALLY SONGEA MBANO
3. Mkwawa n.k

Hao wote walikuwa waislamu

Sikwambii kuhusu akina abushir,akina Makunga ya,akina bwana heri n.k
 
Ulikuwepo wakati wao hadi ukajua wote walikuwa Waislamu?? Uislamu wao una uhusianogani na mada ya kupinga ukoloni au kupigania uhuru wao?
 
Wahaya wamekuwa civilised kabla hata hao wakoloni kufika.Hizo translation za text za bible kwenda lugha ya kihaya unadhani alifanya mkoloni? Organisation ya holy mass katika mtindo wa kihaya alifanya mkoloni sio?(Hii pekee inakutosha kuona earliest civilisation in buhaya kingdom before intruders)

We managed to trade with people of Buganda kingdom(do you know how far it is?just interregion trade).Traveling long distance by that time with advanced means of transportation to exchange advanced technologies and commodities.We were civilised am telling you brother
Waliendaga wapi hao wahaya wa enzi hizo? au ndo hawa hawa waliopo Bukoba na Misenyi ya leo? Kam ndivyo, mbona hawa wa leo wamekuwa laini sana na wavivu?
 
Seth...
Nakuongezea na haya ambayo yamo katika kitabu cha Abdul Sykes:

Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu.

Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848 alimkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma.

Herufi walizokuwa wakitumia zilikuwa za Kiarabu.

Wajerumani kwa ajili hii basi waliwaajiri Waislam kama walimu, wakalimani na makarani serikalini. Wamisionari na wakoloni waliona wivu kwa maendeleo haya waliyoyakuta kwa Waislam.

Kubwa zaidi ni kuwa walikuwa wamekuja kustaarabisha watu ëwashenzi' badala yake wamewakuta watu walistaarabika na wanye utamaduni wa kupendeza. Elimu hii yote na utamaduni huu wa hali ya juu ulikuwa unatokana na Uislam na shule zake - madras.

Hapo ndipo zilipoaanza mbinu ya kuvunja maendeleo haya yote.

Herufi za Kiarabu zikapigwa marufuku kutumika na badala yake watu wakalazimishwa kujifunza herufi za Kirumi.

Muislam ambae jana alipoingia kulala alikuwa anaitwa ameelimika akaamka asubuhi yake mjinga, hana elimu, hajui kusoma wala kuandika.

Njama hizi zote dhidi ya Uislam ilikuwa sehemu ya makubaliano kama ilivyoandikwa katika kifungu IV cha Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884.
Hivi ndivyo mlivyokuwa mnadanganywa kwenye kahawa na madrasat. Mimi nimekaa sana Pwani, hadi dunia hii ya leo wengi hawajui kusoma wala kuandika. Siyo Kiaarabu wa Kiswahili.

Kwa ufupi wakati Wakoloni wa Ulaya wanakuja miaka hiyoya 1800s jamii zote za Kiafrika zilikuwa katika ujinga mkubwa sana pamoja na umaskini uliokubuhu. Babu zetu walikuwa bado wanatumia kijingozi kujisitiri.

kwa ufupi Waafrika tulikuwa na dunia yetu binafsi iliyochelewa sana kuamka. Ndo maana hata Mwarabu moja alikuwa anatosha kuswaga kundi la watu hata 2000 la watumwa kutoka Kongo hadi Bagamoyo. Tulikuwa kondoo kamili.
 
Ulikuwepo wakati wao hadi ukajua wote walikuwa Waislamu?? Uislamu wao una uhusianogani na mada ya kupinga ukoloni au kupigania uhuru wao?
Kuna jamaa hpo kamtag mzee saidi half akasema hapa hkn muislamu aliyetajwa. Ndio nikamfahamisha hao ni waislamu.

Harakat zote za kupinga ukoloni na kupigania uhuru nchi hii zimeanzia kwa waislamu. Ndio maana hayo majina ya hao miamba ni ya kiislamu tupu
 
Waliendaga wapi hao wahaya wa enzi hizo? au ndo hawa hawa waliopo Bukoba na Misenyi ya leo? Kam ndivyo, mbona hawa wa leo wamekuwa laini sana na wavivu?
Wengi wako duniani huko(U.S,Austria,UK,Italy ,Bukoba(M),Bukoba(V),Muleba na Canada).

Wahaya utawaona laini kwa sababu kipaumbele siku zote imekuwa matumizi ya akili na sio nguvu(wanakuwa na maumbo ya wastani).Sababu nyingine ni vyakula vinavyotumika kama ndizi,samaki,senene pamoja na vyakula vyote unavyojua ambavyo ni rafiki kwa ubongo wa binadamu.
 
Hivi ndivyo mlivyokuwa mnadanganywa kwenye kahawa na madrasat. Mimi nimekaa sana Pwani, hadi dunia hii ya leo wengi hawajui kusoma wala kuandika. Siyo Kiaarabu wa Kiswahili.

Kwa ufupi wakati Wakoloni wa Ulaya wanakuja miaka hiyoya 1800s jamii zote za Kiafrika zilikuwa katika ujinga mkubwa sana pamoja na umaskini uliokubuhu. Babu zetu walikuwa bado wanatumia kijingozi kujisitiri.

kwa ufupi Waafrika tulikuwa na dunia yetu binafsi iliyochelewa sana kuamka. Ndo maana hata Mwarabu moja alikuwa anatosha kuswaga kundi la watu hata 2000 la watumwa kutoka Kongo hadi Bagamoyo. Tulikuwa kondoo kamili.
Kwhapa kwetu ustaarabu ulianzia pwani soma peryplus utaelewa nachosema.
 
Hivi ndivyo mlivyokuwa mnadanganywa kwenye kahawa na madrasat. Mimi nimekaa sana Pwani, hadi dunia hii ya leo wengi hawajui kusoma wala kuandika. Siyo Kiaarabu wa Kiswahili.

Kwa ufupi wakati Wakoloni wa Ulaya wanakuja miaka hiyoya 1800s jamii zote za Kiafrika zilikuwa katika ujinga mkubwa sana pamoja na umaskini uliokubuhu. Babu zetu walikuwa bado wanatumia kijingozi kujisitiri.

kwa ufupi Waafrika tulikuwa na dunia yetu binafsi iliyochelewa sana kuamka. Ndo maana hata Mwarabu moja alikuwa anatosha kuswaga kundi la watu hata 2000 la watumwa kutoka Kongo hadi Bagamoyo. Tulikuwa kondoo kamili.
Hii ni kwa mujibu wa Afrocentric scholars au Eurocentric scholars? Maana hiyo miaka ya partition of Africa and before that,wahaya walishafanya makubwa.Kuna makumbusho moja Berlin imehifadhi kumbukumbu zote kuhusu wahaya na maendeleo waliyokuwa wamefikia(Kuna mjerumani mmoja amewahi kuniambia kuwa kuna vitu ata wao kwa kipindi kile walikuwa bado.Ukipata muda kaka tembea uone)
 
Wengi wako duniani huko(U.S,Austria,UK,Italy ,Bukoba(M),Bukoba(V),Muleba na Canada).

Wahaya utawaona laini kwa sababu kipaumbele siku zote imekuwa matumizi ya akili na sio nguvu(wanakuwa na maumbo ya wastani).Sababu nyingine ni vyakula vinavyotumika kama ndizi,samaki,senene pamoja na vyakula vyote unavyojua ambavyo ni rafiki kwa ubongo wa binadamu.
Huo ubongo mbona umeshindwa kuisaidia Kagera kiuchumi? Mbona Kagera imebaki kuwa miongoni mwa Mikoa masikini sana nchi hii??

Nahisi Wahaya mnawakweza tu, lakini hawana lolote la maana walilofanya kuisaidia Bukoba na Kagera kwa ujumla
 
Ukisema kagera ni masikini na ukataja wahaya unakosea pakubwa(mtu hawezi kuwafundisha ustaarabu leo hii ukamu-label kama masikini,hawa watoa takwimu ni wa hovyo kabisa).

Haya ni makabila ndani ya mkoa wa kagera:Wanyambo,wasubi,wahangaza,wahaya(wanyayangiro,wakiziba,waganda kyaka,wakiyanja(kwa mkama Kahigi),na kuendelea)

Wahaya sio sehemu yote ya mkoa wa Kagera ndio maana yangu.Ukisikia mkoa wa Kagera ni masikini jua wanataja Wanyambo,Wasubi na Wahanga indirectly(Kwa sababu serikali yako haipendezwi na ukabila ndio maana)
 
Huo ni utetezi usio na msingi. hata Kilimanjaro kuna Makabila mengi lakini wachaga wameambukiza roho ya upambanaji wao hadi kwa makabila jirani. Hata Wachaga tu siyio kabila moja kwa asili ndo maana Moshi kulikuwa na Mamangi tofauti tofauti kulingana na eneo lake. Kulikuwa n Mangi Meli wa Marangu, Mangi sina wa Kibosho n.k.

Maendeleo ya Kilimanjaro na maeneo ya jirani ni makubwa sana tofauti na Bukoba kwa Wahaya wenyewe ukiachana na huko Ngara na Karagwe kwa wahangaza na Wanyambo.

Wahaya wana matatizo yao ambayo hamtaki yasemwe. Kwa ufupi wanazidisha masifa kuliko matendo
 
Maendeleo kwako wewe ni kitu gani.Ni hizi takwimu wanatoa NBS?Ni ustawi wa mtu(kukidhi mahitaji yake?Basic needs(food,shelter and clothes)) au ni massive investment au kwako maendeleo ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom