Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.

Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .

Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.

The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.

Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.

Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
 
Hii ndo maana watanzania wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Watasaodoaje nchi yenye watu wasiopenda mawazo mbadala. Tatizo sio wao tatizo ni mfumo uliopo nchini
 
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.

Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .

Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.

The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.

Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.

Hii ndo maana watanzania wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Acha ujinga pamoja na yote prof lipumba ni.professa chuo cha ULINZI tena analipwa hela ndefu..... pia huwa anaitwa bot kama mdau so serikali wanamtumia hadi leo japo mpinzani
 
Umenena vyema ni mabingwa wa kukariri.wasomi wetu hawana msaada hata mtaani wanakoishi bure kabisa.Profesa hana ugunduzi wowote labda wa panya kutegua mabomu sasa mtanzania itamsaidia ni panya kutegua mabomu wakati vita sasa hivi wanatumia drones.ukisema tutumie kiswahili kufundishia maprofesa na wasomi wetu wanakataa wanataka kizungu tu na kuwapa majina watoto akina junior,ryan,bryan,briana.vituko tu.
 
Cha ajabu.

Watanzania hao hao, Wakiwa US, German and etc wana fanikiwa sana katika carrier zao na kuleta matokeo chanya kwenye jamii za watu wengine.

Ukiwaleta hapa, Hakuna wanachoweza kwa sababu system yenu of deriverence ime paralyse.
 
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.

Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .

Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.

The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.

Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.

Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Kuna kipindii nilikuaga naangalia sentence kwenye za notes kwenye masomo jicho lina piga picha na kukaririi kama kasuku.

Mtaa umenifunza Sasaaa nipo mtaa na changanya elimu + mazingira jawabu likiwa ni ELIMU IKUSAIDIE KUTATUA AU KUYATAWALA MAZINGIRA YAKO NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII INAYOKUZUNGUKA BASII HIYO ELIMU NI NZURIII SANAA ikiwa ni kinyume chake BASI hiyo ELIMU NI SCAM.
 
Kwakifupi elimu ya WATANZANIA inatia mashaka mnooooo.
Mimi ndio maana nauchukia usomi wa kibongo.
Yan we hata uniambie una Phd ,honestly sitakuheshimu kwa elimu ulio nayo. Hata uwe na pesa kiasi gani, nina uhakika, unaweza kuwa umezipata kwa harakati zingine tu ila sio elimu kama chanZo.
 
Sasa wewe utamheshimu mtu kwa lipi?
Pesa no, elimu no au uchawi?
 
Elimu haisaidii kutatua changamoto za kiuchumi, bali pesa zinasaidia kutatua changamoto za kiuchumi.

Wanaokufundisha mko nao chuoni kutwa kucha, wanaotatua changamoto zenu ni wafanya biashara kwa kulipa kodi.

Achaneni na elimu mtafute pesa tuone matokeo.
 
Mwamba kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akivuka jangwa kutoka Medina hadi Karbala kwenda kuupigania kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Screenshot_2025-07-30-19-19-40-01_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Dabil Wakilli Al-mukheef Mufti kuku The Infinity
 
Back
Top Bottom