Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

Tatizo la watanzania wanataka ukiwa msomi ugundue vitu kwa miujiza kama mitume yani uisaidie jamii yako iwe kama marekani bila vitu kama

Serikali wezeshi

MITAJI

Yani mnataka kufumba na kufumbua mpo kama ulaya kisa watu wamesoma

Hivi hamuoni Serikali ya hizo nchi inachokifanya kwa wasomi wao. China kila technolojia inayozuka duniani wanahakikisha Wana fund taasisi zao za elimu kuwezesha wasomi wao Wana adopt na kuiendeleza asaivi wako busy na AI sisi Serikali yetu inafanya nini

Hamuoni familia tajiri zinavyozamini tafiti mbalimbali ambazo zinakuja kuwa na impact duniani

Sisi tubaki kuamini miujiza tu haya maswala ya elimu yapo juu ya uwezo wetu wa kufikiri
 
Kwa kifupi,wewe hujui kitu. Hebu nitajie Andiko hata moja la Prof Kabudi, kama kweli unaona Hana impact. Hivi unajua kutoka Dr Hadi Prof unatakiwa uwe umefanyaje?
Kuhusu kugundua kitu si lazima uwe na PhD, hata level ya Masters inaweza kukufanya kuwa Scholar ..huwezi kugundua kitu pasipo kufanya utafiti (research) kwahiyo kuanzia Masters unapewa go ahead ya ku fill a research gap. Amka kutoka usingizini
Nchi yetu Ina tafiti za kutosha, lakini hazifanyiwi kazi pia wanasiasa wana channel pesa nyingi kwenye utawala badala ya kwenye tafiti.
Kabudi ni Muhuni ndo maana hata mtihani wa low school hajafanya hana cha maana simamia Elimu yako ionekane hata kama umeajiriwa na Mwana siasa hiyo itakufanya uheshimike na jamii na Elimu yako itakua imekukomboa na Umeelimika tena Wakina Kabudi ni ndo hamna kitu wamepata nafasi serikalini wameshindwa kuishauri serikali isimamie wale waliokua wanatufundisha na kuyaamini. Msomi hawezi kua ndumilakuwili Ogezea na huyu Mwakyembe huyu Aliwahi kukana hata Andiko lake hao wote ni kenge Ukikutana nao waulizie wanasimamia Ujamaa au Ubepari Utapata majibu yao niliyowataja hapo. Profesa ni Shivji Tanzania hii angaalu na Assad na Mipango angalau hao kuna vitu walifanya Mpango alituliza hata Uchumi upande wa Magu
 
Hawa wote huko walikotoka walifanya vizuri sana.

Ila mfumo wetu wa Utawala ndio tatizo. Ukiwa umenyooka sana unatafutiwa Milango wa kutokea na lazima utengenezewe kashfa ya Kuku chafua.

Kuna bwana Moja Anaitwa Omar Nundu. Yule Mzee Alichukuliwa na Mzee kikwete akimtoa Uholanzi kwenye sekta ya Uchukuzi.

Mzee kikwete Akampa wizara ya Uchukuzi wahuni wakamfyatua.
 
Tatizo la watanzania wanataka ukiwa msomi ugundue vitu kwa miujiza kama mitume yani uisaidie jamii yako iwe kama marekani bila vitu kama

Serikali wezeshi

MITAJI

Yani mnataka kufumba na kufumbua mpo kama ulaya kisa watu wamesoma

Hivi hamuoni Serikali ya hizo nchi inachokifanya kwa wasomi wao. China kila technolojia inayozuka duniani wanahakikisha Wana fund taasisi zao za elimu kuwezesha wasomi wao Wana adopt na kuiendeleza asaivi wako busy na AI sisi Serikali yetu inafanya nini

Hamuoni familia tajiri zinavyozamini tafiti mbalimbali ambazo zinakuja kuwa na impact duniani

Sisi tubaki kuamini miujiza tu haya maswala ya elimu yapo juu ya uwezo wetu wa kufikiri
Hawa hawa wanaosema wametoka Jalalani hana sahau pale UDSM alikua anafanya kazi nzuri kuliko anayoenda kufanya Bungeni UDSM unazalisha unafanya uzalishaji unakimbia kwenda kupiga porojo Bungeni kisa maslai binafsi
 
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.

Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .

Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.

The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.


Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.

Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Baada ya hao, sasa twambie kuhusu wewe umekuwa na impact gani kwako binafsi, familia yako na nchi yako kwa ujumla! Tunakusikiliza!!
 
Jamani tujitahidi kuwapa watoto lishe bora, kuanzia level ya "kabla ya utungaji wa mimba" hadi mtoto anapokuwa mkubwa.

Nyerere alisema, ili taifa liendelee tunahitaji watu, ardhi na siasa safi na sio hivyo tu, taifa linahitaji watu wenye malezi bora, siha njema na bongo kali.

Tusiwalaumu sana hawa watu, its generational inheritance.
 
Hawa hawa wanaosema wametoka Jalalani hana sahau pale UDSM alikua anafanya kazi nzuri kuliko anayoenda kufanya Bungeni UDSM unazalisha unafanya uzalishaji unakimbia kwenda kupiga porojo Bungeni kisa maslai binafsi
Sasa kama Serikali inathamini wabunge zaidi kuliko wenye taaluma yeye afanyeje? Hivi wewe unayajua mafao ya professor wa UDSM vs mbunge aileishia darasa la saba endapo wakistaafu?
 
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.

Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .

Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.

The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.


Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.

Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Sababu ya mfumo mbovu na wakijinga wa CCM, pia masilahi, mfano wewe umekaa darasani let say una masters zaidi ya miaka 20 mshahara milioni 1.5M kabla ya kodi, lakini kuna chawa kazi yake ni kusifia anajua kusoma na kuandika pekee analipwa 18M bila kodi, rushwa, alllowances kibao, huwezi kuwa mbunifu lazima uwe na msongo wa mawazo. Uchawa unalipa kuliko elimu.
 
Wao na Usomi wao Inatakiwa wakae na watawala wawambie sio sawa hamna taifa bira wasomi kuna Umoja Wa boda taifa na Msemaji wao Wasomi wamekosa Umoja wao wanazidiwa na boda boda shame serikali ingebadili vitu vingi na Wanasiasa wangeheshimu wasomi
Sasa kama Serikali inathamini wabunge zaidi kuliko wenye taaluma yeye afanyeje? Hivi wewe unayajua mafao ya professor wa UDSM vs mbunge aileishia darasa la saba endapo wakistaafu?
 
Wao na Usomi wao Inatakiwa wakae na watawala wawambie sio sawa hamna taifa bira wasomi kuna Umoja Wa boda taifa na Msemaji wao Wasomi wamekosa Umoja wao wanazidiwa na boda boda shame serikali ingebadili vitu vingi na Wanasiasa wangeheshimu wasomi
Usifananishe usomi na uana harakati taaluma humfanya mtu awe smart and not aggressive kama mwanaharakati

Serikali nyingi huongozwa na watu wenye elimu za kawaida tu kwani siasa sio taaluma bali ni ushawishi na uwezo wa kupambana kuingia madarakani hasa katika nchi zinazoendeshwa kiimla

Serikali haijalishi inaongozwa kwa mfumo gani na watu gani ndio yenye wajibu wa kuheshimu na kuendeleza taaluma kwa maendeleo ya taifa zima. Raisi ni mwanasiasa anatakiwa yeye na Serikali anayoisimamia kuhakikisha wanaweka bajeti kubwa kwenye elimu na tafiti ili kukuza teknolojia katika taifa hili, walipe wataalamu, wadhamini tafiti na vumbuzi, waweke mifumo ya kielimu inayobadilika kulingana na wakati sio kung'ang'ania mifumo ya elimu ya kikoloni

Hiyo kazi unayowapa wasomi ya kupambana na Serikali sio kazi halisi ya wasomi na wenye taaluma zao hiyo ni kazi ya wanaharakati na wanasiasa
 
Prof.Juan Mwaikusa inasemekana aliliwa kichwa,Dr.Mvungi inasemekana aliliwa kichwa na wengine wengi.If you can't fight them, join them.
 
Back
Top Bottom