Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

Bila kumsahau Andrew chenge mzee wa vijisenti
Nilikua nimesahau huyo mzee Huyu ndo TP mwenyewe anakuacha town macho makavu huyu Mwingine alikua anaitwa Benson Banna ni Balozi kipindi cha Magu sijui Nigeria alikua UDM Ogezea na Ossoro na Mruma Lissu Bungeni alisema Riport yao ni takataka ila Lissu🙌😂😂😂 Asante Mungu kwa kuleta ichi kiumbe
 
Hawa wote huko walikotoka walifanya vizuri sana.

Ila mfumo wetu wa Utawala ndio tatizo. Ukiwa umenyooka sana unatafutiwa Milango wa kutokea na lazima utengenezewe kashfa ya Kuku chafua.

Kuna bwana Moja Anaitwa Omar Nundu. Yule Mzee Alichukuliwa na Mzee kikwete akimtoa Uholanzi kwenye sekta ya Uchukuzi.

Mzee kikwete Akampa wizara ya Uchukuzi wahuni wakamfyatua.
R.I.P Omar Nundu
 
Elimu ya bongo ni intimidation ,mtu akikosa teuzi anaanza kulia ..Yule T.O kutokea kusini ,kelele zote mtandaoni ,umotivational speaker kumbe anataka ubunge ....Jamani ,jamani elimu hii ukisikiza wanavyongelea neno '' elimu '' utachekw
Yaani Kuna vitu vinashusha thamani ya mtu kwa kweli. Kelele zile zote kumbe naye ni wale wale
 
Yaani Kuna vitu vinashusha thamani ya mtu kwa kweli. Kelele zile zote kumbe naye ni wale wale
Yaani mtu maneno mengi ila hamna kitu ,ukiona mtu anajifanya anafundisha watu kila kitu ,basi tambua hana kazi ya kufanya ..
 
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.

Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .

Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.

The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.


Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.

Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Nikamq viongozi wa dini tu hawana impact yoyote ya maana katika jamii
 
Watu waliokimbia umande wana hasira sana na wasomi. Wanadhani shida zao zote zimeletwa na wasomi na jukumu la kuzitatua ni la wasomi sio wao. Nyie nani aliwaambia msisome? Walisoma kujikomboa wao kwanza nyie wengine ni after thought tu.
 
Kwa kifupi,wewe hujui kitu. Hebu nitajie Andiko hata moja la Prof Kabudi, kama kweli unaona Hana impact. Hivi unajua kutoka Dr Hadi Prof unatakiwa uwe umefanyaje?
Kuhusu kugundua kitu si lazima uwe na PhD, hata level ya Masters inaweza kukufanya kuwa Scholar ..huwezi kugundua kitu pasipo kufanya utafiti (research) kwahiyo kuanzia Masters unapewa go ahead ya ku fill a research gap. Amka kutoka usingizini
Nchi yetu Ina tafiti za kutosha, lakini hazifanyiwi kazi pia wanasiasa wana channel pesa nyingi kwenye utawala badala ya kwenye tafiti.
Wewe ni Kabudi mwenyewe,mke wake au mtoto wake?
Kabudi ni useless thing na amedhihirisha hayo hadharani hasa kipindi kile alipokuwa chawa muandamizi wa Jiwe.
 
Back
Top Bottom