DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Watasaodoaje nchi yenye watu wasiopenda mawazo mbadala. Tatizo sio wao tatizo ni mfumo uliopo nchiniProf -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.
The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.
Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.
Hii ndo maana watanzania wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Acha ujinga pamoja na yote prof lipumba ni.professa chuo cha ULINZI tena analipwa hela ndefu..... pia huwa anaitwa bot kama mdau so serikali wanamtumia hadi leo japo mpinzaniProf -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.
The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.
Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.
Hii ndo maana watanzania wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Hakuna msomi anaweza kufanya lolote chini ya ccm
Kuna kipindii nilikuaga naangalia sentence kwenye za notes kwenye masomo jicho lina piga picha na kukaririi kama kasuku.Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.
The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.
Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.
Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
Huko chadema wasomi wamefanya nini'?!!! Mbona hakuna Cha maana zaidi ya maneno ya kwenye vijora tu?!!Hakuna msomi anaweza kufanya lolote chini ya ccm
Sasa wewe utamheshimu mtu kwa lipi?Kwakifupi elimu ya WATANZANIA inatia mashaka mnooooo.
Mimi ndio maana nauchukia usomi wa kibongo.
Yan we hata uniambie una Phd ,honestly sitakuheshimu kwa elimu ulio nayo. Hata uwe na pesa kiasi gani, nina uhakika, unaweza kuwa umezipata kwa harakati zingine tu ila sio elimu kama chanZo.
Hapana chief ,hujanisoma. Nimesema hata ukimuona msomi wa bongo ana pesa ,jua chanzo chake si elimu kwa asilimia kubwa.Sasa wewe utamheshimu mtu kwa lipi?
Pesa no, elimu no au uchawi?