Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Naskia mchambua matembele alimkataa elon.Wamemkataa elon musks na project zake, Sembuse mawazo matupu ya Prof. Muhongo.
Hakuna cha maana hapo Kenya maprofesa wao wanafundisha University za USA wanavuta na Michongo kuleta Kenya unafanisha hizi takataka zinazovizia TEUZI mtu anafika level ni Profesa wa Uchumi hana hata kibabda cha kuuza mkaa hajawai kugundua Chochote hao ni kenge tuUnafahamu Prof Kabudi ana Publications ngapi? citations ngapi? Supervisions za Masters na PhD ngapi? Consultations ndani na nje ya nchi ngapi? Fanya utafiti ndipo uje kuandika kitu, vinginevyo usilete usela gogo kwenye ulimwengu wa ki intellectual.
Katika wote hao umemuonea Prof Anna.Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka , huyu ukiacha Ku-brag n.k Elimu yake haina impact yoyote kuanzia kule kwao Muleba ambako wale wadada wauza stake wanatoka kashindwa hata kubadilisha mindset zao ili waache kuuza stake.
The list is endless Ila nikiwasikiliza wasomi wa Tz huwa nacheka Sana ukiachana uwezo wa kukariri madesa sijui Kama kuna kitu wanaweza.
Kuna mzungu mmmoja alimwambia mtanzania kuwa nyie ni mabingwa wa kukariri Ila kufikiri hilo swala hamliwezi hata kidogo.
Hii ndo maana watanzania baadhi wakienda kusoma ulaya wanafanikiwa kupata good marks ila kufikiri kitofauti hawawezi.
CHADEMA ndo taifa gani?Huko chadema wasomi wamefanya nini'?!!! Mbona hakuna Cha maana zaidi ya maneno ya kwenye vijora tu?!!
Ni kusanyiko la mburura flani kwenye nchi yetu pendwa ya TanzaniaCHADEMA ndo taifa gani?
Kwa kifupi,wewe hujui kitu. Hebu nitajie Andiko hata moja la Prof Kabudi, kama kweli unaona Hana impact. Hivi unajua kutoka Dr Hadi Prof unatakiwa uwe umefanyaje?Hakuna cha maana hapo Kenya maprofesa wao wanafundisha University za USA wanavuta na Michongo kuleta Kenya unafanisha hizi takataka zinazovizia TEUZI mtu anafika level ni Profesa wa Uchumi hana hata kibabda cha kuuza mkaa hajawai kugundua Chochote hao ni kenge tu
Hivyo vyote vinamsaidia nini maskini wa pale kilosa au tandaleUnafahamu Prof Kabudi ana Publications ngapi? citations ngapi? Supervisions za Masters na PhD ngapi? Consultations ndani na nje ya nchi ngapi? Fanya utafiti ndipo uje kuandika kitu, vinginevyo usilete usela gogo kwenye ulimwengu wa ki intellectual.