Hawa ndo watu wenye bahati duniani

Hawa ndo watu wenye bahati duniani

Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
anaesoma mrejesho (comment/feedback) hii.

aliye hai na ameweza kusoma uzi huu.
 
Naweza kuwa na bahati ya hivyo vyote lakini dunia jalala inavyonitreat wewe acha tu .

Iliwahi fika kipindi mtu anakuuliza hivi wewe ndiye mtoto wa hayati Fulani .......,.Ila unakataa ukoo na wazazi wako ili uwalindilie heshima uko waliko maana ukikubali watashushwa vyeo kumbe ni dunia ndiyo imekufikisha hapo ulipo 😖
 
Hiyo ya kwanza ungefafanua zaidi.hiyo inategeme na ajira.kunawengine walichelewa kupata ajira Hadi wakaamua kujiajiri Hadi kuwazidi kimaendeleo waliomtangulia kuajiriwa.Mfano kwa ajira hizi ndogondogo kama mwalimu,polisi wanajeshi hawa wa vyeo vya kawaida hata akitangulia miaka kumi lakini ukaamua kujiajiri kwenye ufugaji na kilimo unawazidi kimaendeleo Kwa muda mfupi.Hii nimeiona Kwa watu wengi sana
 
Dah yote hayo unanisema mimi kabisa japo kwenye upande wa familia sio matajiri kihivyoo..


Kingine mimi handsome boy mtoto wa kinyaturu /ki Ethiopia
Ndg, mbona we ninakuona hapa mkoani Lindi maeneo ya mitwero na hapa Paris club ukipiga Castle light?!!!! Sifa hizi ulizozianisha umezipata lini ndg yangu?!!!!!
 
Ndg, mbona we ninakuona hapa mkoani Lindi maeneo ya mitwero na hapa Paris club ukipiga Castle light?!!!! Sifa hizi ulizozianisha umezipata lini ndg yangu?!!!!!
Sasa lipi la uongo hapo? Chuo nimemaliza 2019 ajira 2021... Home sio kinyonge kihivyoo lipi unataka kubisha kuhusu la uhandsome au?
 
Back
Top Bottom