Hawa ndo watu wenye bahati duniani

Hawa ndo watu wenye bahati duniani

John asubuhi tu tumekusifia umeona uje ujisilibie na uhendisamu sio.....
Watu husema mimi ni mzuri sana ila tatizo ni pombe tu ebu kanicheki Facebook halafu unipe mrejesho wayasemayo ni kweli au wanazingua.. Search John paschal kilakuno
 
Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea

Nimebahatika viwili kati ya vitatu vya mwanzo
I wish hiko kimoja kingeenda my way pia
 
Watu husema mimi ni mzuri sana ila tatizo ni pombe tu ebu kanicheki Facebook halafu unipe mrejesho wayasemayo ni kweli au wanazingua.. Search John paschal kilakuno
Mie situmii hizo fesibuku niwekee picha hapa au pm nikuone kama ni muhendisamu.
 
Watu husema mimi ni mzuri sana ila tatizo ni pombe tu ebu kanicheki Facebook halafu unipe mrejesho wayasemayo ni kweli au wanazingua.. Search John paschal kilakuno
K vant na konyagi zitakumaliza mkuu.
 
Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
Dah, ya kwanza inanihusu. Nilipata kazi ya kwanza nikiwa namalizia forth year FoE enzi hizo
 
Attachments

  • DSC_0337.JPG
    DSC_0337.JPG
    2.3 MB · Views: 1
Back
Top Bottom