Hawa ndo watu wenye bahati duniani

Hawa ndo watu wenye bahati duniani

1. Kama umezaliwa na una afya njema mpaka sasa
2. Kama unaupeo na maarifa. Wapo waliozaliwa kwenye familia tajiri sasa hivi hapa tu katoka kunipiga mzinga. Sio utani nachomaanisha hapa kabla sijasoma hii thread kama dakika kumi nyuma nmetoka kupigwa mzinga hapa na mtoto wa dingi yangu mdogo ht wazazi walishamchoka
3. Kama unaweza kuchukulia life very simple.
 
Kubwa kuliko zote Ni mtu mwenye afya njema,kuwa tu afya njema Ni Jambo la kujivunia Sana.

Wapo matajiri wengi tu ambao Muda huu wamelazwa vitandani kwa magonjwa mbali mbali, ila pamoja na utajiri wote walionao wanatamani tu wawe na afya nzuri Kama Mimi na wewe hapo
 
Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
Yani huyo wa carefree ndo balaa
 
Watu husema mimi ni mzuri sana ila tatizo ni pombe tu ebu kanicheki Facebook halafu unipe mrejesho wayasemayo ni kweli au wanazingua.. Search John paschal kilakuno
Mwamba huyu hapa #HANDSOMEBOY🤣🤣🤣
Screenshot_20240621-174239.png
 
Mtu mwenye afya njema hii ni bahati
Wanaoshindaga bahati nasibu 50M+
Waliobahatika kupata madini kwenye uchimbaji
Kwenye haya maisha ili kutoka tuseme tu ukweli una hitaji bahati moja kubwa itakayokutoa inaweza kuwa kupata tenda,kushinda bahati nasibu,kupata madini kwa wachimbaji nk
Kila tajiri ana sehem alipoanzia either kurithi,Upendeleo,bahati,vigezo nk
 
Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
Aliye bahatika kutoa bikra
 
Dah yote hayo unanisema mimi kabisa japo kwenye upande wa familia sio matajiri kihivyoo..


Kingine mimi handsome boy mtoto wa kinyaturu /ki Ethiopia
Dah…meanaume mzima kumbe ni mtito Kinyaturu? Halafu na wewe unajiita hivyo…dah, nimelia sana.
 
Kwa iyo kama nimezaliwa somali land inakuaje...
 
Hizo sio bahati hizo ni Natural and common life phenomenons. Utapata kazi lakini mshahara ni 200,000. Mke bora alafu ana AIDS. Familia tajiri mwenyewe anaondoka mnageuka makapuku. Mtu asiyejali ni kitu kisichowezekana, kiundani anapretend na kuumia.

Bahati ni kufanya kila kitu na kinatokea exactly vile ulivyopanga with extra benefits. Hiyo ndio bahati.
 
Hivi mke bora anavigezo gani vya kudumu kiasi kwamba kila mwanaume anapaswa kuvitambua?
 
Back
Top Bottom