Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Mshukuru sana Muumba mkuu, kuna watu wanataabika sana hapa ulimwenguni
True kabisa me naona kilimo hasa cha tumbaku watu wanapiga pesa mbaya.Hiyo ya kwanza ungefafanua zaidi.hiyo inategeme na ajira.kunawengine walichelewa kupata ajira Hadi wakaamua kujiajiri Hadi kuwazidi kimaendeleo waliomtangulia kuajiriwa.Mfano kwa ajira hizi ndogondogo kama mwalimu,polisi wanajeshi hawa wa vyeo vya kawaida hata akitangulia miaka kumi lakini ukaamua kujiajiri kwenye ufugaji na kilimo unawazidi kimaendeleo Kwa muda mfupi.Hii nimeiona Kwa watu wengi sana
Mtu aliye hai mpaka kufikisha miaka walau 85 ana bahati. Hao wengine wote ulioorodhesha kuna wengi wanafariki wakiwa vijana kabisa.Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
Hadi wewe mwenye kitambi?🤣🤣🤣Mtu mwenye afya njema na viungo vya mwili vimekamilika
Burundi 🇧🇮Ongezea hapo ambae kazaliwa nchi tofaut na Tanzania.
Mnyaturu kweli unajisifia kuwa ww n Mnyaturu asee Miaka imekimbia sana 😀😀😀Dah yote hayo unanisema mimi kabisa japo kwenye upande wa familia sio matajiri kihivyoo..
Kingine mimi handsome boy mtoto wa kinyaturu /ki Ethiopia
Nimezaliwa Kibandamaiti.Labda aliyezaliwa Marekani, Canada au Ulaya. Ukizaliwa Somalia, Burundi au Malawi bora Tanzania tu
Asee umeongea Point kubwa sana5/,wazazi wapo hai
Waebrania 10pumbafu
Exactly 💯Bahati ni kufanya kila kitu na kinatokea exactly vile ulivyopanga with extra benefits. Hiyo ndio bahati.
Number three (3) ukiikosa hata upate hizo nyingine Ni bure tu.Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
Una mbwembwe sana we "kijana"Dah yote hayo unanisema mimi kabisa japo kwenye upande wa familia sio matajiri kihivyoo..
Kingine mimi handsome boy mtoto wa kinyaturu /ki Ethiopia
DuhKwenye mke sahihi Nina uhakika soon nakuwa na wife na mwenyewe mzuri.. Tatizo nataka nipate mshindo wa maana yaani hela kama ya Madini ile Vito nipewe million 140 Kwa Mara moja hapo ndo nitajiona nimepata BAHATI KUU
Uko poa mbona mkuu kama mimi tuu sema macho ndio yanaonesha ni mla vyombo, mwanzo na mimi nilikua nakula vikali kila siku, watu wakaribu wakaanza kuniambia nimeanza kua na sura ya ulevi, nikaamua kupunguza vikali nakula mara chache tuu nikiwa na hela nakunywa bia basi.Nimekonda sana mkuu? Ndo mwili wangu mzee
Mtu anayepata hela ya KubetHii ndo list ya watu wenye bahati dunia:
1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo
2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri
3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu
4) Mtu ambae yupo carefree
5)... ongezea
Mkuu acha kabisa, mwezi uliopita nilikua kahama tunakusanya tumbaku kwa wakulima vijijini huko aisee vijana wadogo wanapiga hela balaa, mind you tumbaku inanunuliwa kwa dollar.True kabisa me naona kilimo hasa cha tumbaku watu wanapiga pesa mbaya.