Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.

Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli

Nitazidi kuongeza orodha.

Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.

Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.

Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
 
Sectratary bird,Mshana jr,Mime ,kuna Jamaa wa kulike sijui kapotelea wapi rarararerere!
 
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.

Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli

Nitazidi kuongeza orodha.

Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.

Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.

Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Naona umemchokoza Purely Talented, Charismatic Fella .... ngoja aje akushukie kwanza!
 
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.

Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli

Nitazidi kuongeza orodha.

Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.

Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.

Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Umeongea hisia zako. Hongera sana
 
Hiki ndio Chuo alichosomea GENTAMYCINE 🤭
1751220433437.jpg
 
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.

Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli

Nitazidi kuongeza orodha.

Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.

Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.

Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Mbona wewe haupo? Unafikiria Nje ya box au chini ya box 😂😂
 
Back
Top Bottom