Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Umekosea sana Lucas Mwashambwa,hadi mtu anaweka contact zake bado umemtosa 😀😀
Then nikishauona?NI kwamba purely charismatic fella, game changer GENTAMYCINE hajauona huu Uzi?
Nami pia namtafuta simpati, naendelea kumsakaNaendelea kusoma comment nione cosmetics fella aliandika nini.
Ananiogopa maana nitamnyoosha akanyooka.NI kwamba purely charismatic fella, game changer GENTAMYCINE hajauona huu Uzi?
Ila wote wanywa pombe wenzakoHawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.
Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli
Nitazidi kuongeza orodha.
Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.
Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.
Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Hongera mkuu, hakika umebadilikaThen nikishauona?
Nimemrudisha katika njia iliyo sahihi.Hongera mkuu, hakika umebadilika
😂😂😂 umemwona?Nami pia namtafuta simpati, naendelea kumsaka