Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

Zamani nilijifanya mtu serious serious ila hakuna raha huko, ni kupretend tu.

Karibu huku kwenye ulimwengu wa vichwa vibovu
Cc Poor Brain
Mwanzoni nilikua nakufatilia sana nakumbuka kuna siku kule jukwaa la intelligence ulinishambulia kisa nilikua nashindwa kudadavua formula ya Albert Einstein....

Badae nikaanza kukuona umeanzisha uzi wa kuuza video za connection kwa mange kimambi... Ndo nikaona kumbe vishu ni chenga
 
😂😂😂😂 we dogo 007, agent tegemezi wa TISS unamuita chenga?? Sipendi kujisifu ila wanaomfananisha James Bond na mimi hawakosei sana, maana kwa maigizo yake anaweza kunifikia kwa asilimia kadhaa.

Huna nidhamu eeh?
 
Unajua hata kirefu cha TISS au unataka nimuite ditective j hapa 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom