kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ndege wewe si ulishaoaKwa hiyo tukioana tunapotea machoni pa watu, siyo?
Ndege wewe si ulishaoaKwa hiyo tukioana tunapotea machoni pa watu, siyo?
Sasa kwanini unatugrade kwa namna hiyo??Hapana mkuu.
Nimeli-note hili.Ukifika kwenye list ya members wapole na wastaarabu naomba unimention na mimi nimo
Unachukuliwa positive lakini ukiachana na habari za Yanga utakuwa mtu pia sana.Huwa nachukuliwaje hapa jamii forums?
La hasha.Ndege wewe si ulishaoa
Huo ni utani wa jadiUnachukuliwa positive lakini ukiachana na habari za Yanga utakuwa mtu pia sana.
Ndio maana hajali chochote mtakachomwambia anakipokea😂😂Luka ni mchekeshaji wakati mwingine.
maiti au sio?Mimi fikra zangu ziko mbali na Dunia.
Poor Brain na Monetary doctor ni kijana brightSasa kwanini unatugrade kwa namna hiyo??
Enhee mimi nipo wapi?
Ndgu yangu Poor Brain je??
Vipi kuhusu mpenda mishangazi PSL god ??
Jobless Intelligent businessman yupo kundi gani??
Vipi mpenda mbususu mzabzab na kamanda wa nyero dronedrake ??
Sema huu mwandiko wako umekaa kinoko kinyama mkuuHawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.
Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli
Nitazidi kuongeza orodha.
Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.
Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.
Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Nafikiria vitu vya kwenye sayari zingine.maiti au sio?
Ana uwezo wa kuvumilia kubezwa ndo maana huwa napenda kumtania.Ndio maana hajali chochote mtakachomwambia anakipokea😂😂
Sema huyu jamaa ako na haiba ya uongozi kwasababu ni mvumilivu lakini pia ako na misimamo kwa maana anaamini kwenye kile anachokisimamia hata watu wote muwe kinyume na yeye.
Utani wako unatuumiza wanasimbaHuo ni utani wa jadi
Nakuwepo hapa kuwatania wana Simba watani zangu akina Kalpana, japo amekimbia jukwaa lakini uzuri alituaga baada ya kufungwa kuwa Kwa Sasa anaelekeza akili kwenye no reform no election'
unasubiri nini?Nafikiria vitu vya kwenye sayari zingine.
Kwa nini mkuu 😀Sema huu mwandiko wako umekaa kinoko kinyama mkuu
Saikolojia tena😆😆Poor Brain na Monetary doctor ni kijana bright
Halafu Kuna huyu bro Dr am 4 real PhD naye yuko njema sana kumkichwa.
min -me ni mzuri katika kusoma saikolojia Mbaga Jr naye ni noma.
Nasubiri nipae na NASA kwenda kwenye utafiti wa masuala ya anga.unasubiri nini?
Yeah ni kitu ambayo ako nayo na ndio maana jina lake huwezi kukaa wiki halijatajwa humu jukwaani coz watu wako huru sana juu yake... Wanamuweza yani😅Ana uwezo wa kuvumilia kubezwa ndo maana huwa napenda kumtania.
Ona hii ponjoroHawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.
Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli
Nitazidi kuongeza orodha.
Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.
Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.
Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Kumbuka na nyinyi mlivonikera kipindi mnafika final CAFCCUtani wako unatuumiza wanasimba