Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.

Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli

Nitazidi kuongeza orodha.

Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.

Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.

Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
bila mimi kuwepo utakuwa ujaitendea haki jf
 
Nilituma maombi kwenye ofisi ya kina Lucas Mwashambwa nikajibiwa nafasi zimejaa. Alafu uwezo wangu ni duni sanaa
Ofisi ya akina Luka haitaki watu wanofikiria vitu chanya.

Mtu angekuwa na uwezo wa kuishi akikatwa vichwa basi watawala wa ofisi ya akina Luka wangekuwa wanakataa watu vichwa.
 
Licha kuwa wana heshimika humu kuna wengine ni wakorofi na ni radical. Kiranga tumechuana naye humu mpaka akanidharau na kuona mi si level yake kwenye mijadala yake na amenitangazia kuniweka kwenye list yake ya ignore. Huyu mjuba kwangu mimi namuona ana kiburi na kujiona ana akili nyingi kuliko wengine, ana maringo. Tanganian yeye naye tumechuana naye kwenye nyuzi za watu, yeye pia ana dharau sana, kwangu mimi ni saizi yangu nammudu, huwa anaingia mitini nikimshinda. Wengine hujiona wana akili kubwa ya kufikiria kuliko wenzao, hujiona ni wasomi wakubwa wanaojua kila kitu duniani, huwaambii kitu, wana matusi balaa!
Ila Nyani Ngabu amezidi kwa matusi.

Alimtukana Mayalla, hadi malaya akaja kwangu kwa counseling.
 
Ile picha ya mama inayosambaa, akiwa anafuatilia kesi ya Lissu haijakububujisha machozi mkuu😅😅
IMG-20250701-WA0039.jpg
 
Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.

Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli

Nitazidi kuongeza orodha.

Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.

Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.

Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
johnthebaptist ongeza na huyu
 
Back
Top Bottom